msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
huyu
Huyu nae ndo walewale haelewi kitu ,maana jukwaa la matangazo silipo huku imefata nini!maana ya kuanzisha uzi ni nini? mtu akitaka ufafanuzi hapahapa apewe sio kila mtu yuko interested kupiga simu,wengine wanavutika na maelezo tu ya kina,hujui maana ya marketing?