Safari ya matumaini ya Manchester United imefika ukingoni.

dua la kuku hilo yaan bado hujajua kuwa man u ndo mabingwa UCL 2017-2018
 

Umepotelea wapi? umeingia mitini? Mwisho wa msimu utaona nani mjanaja...Manchester united vikombe vitatu Carling + Europa+ Uefa super cup....Chelsea watakuwa na kombe moja tena domestic ha ha ha...ukweli mchungu sana
 
Makombe yooote makubwa tulishayabeba isipokuwa hili apa ....


Na huu ndo wakati wetu
 
Kadai chenji yako kwenye kiringe ulichotoka. Tunguli zake zimenyeshewa na mvua, hivyo hazina nguvu.
 
NIMEKUWA NIKIOMBA DUA MBAYA TOKA MASHINDANO YANAANZA LAKINI MANYUMBU YANATOBOA TUU DAHH!!!!!HEBU CELTA VIGO TUPENI RAHA JAMANI.
Mkuu endelea hivyo hivyo na Midua yako mibaya maana inatusaidia kinoma Kumbe... Na final Rooney ndie atakuwa mana of the match
 
Mkuu endelea hivyo hivyo na Midua yako mibaya maana inatusaidia kinoma Kumbe... Na final Rooney ndie atakuwa mana of the match


POWA HAINA MBAYA NGOJA TUCHEKI FAINALI MNAWEZA KUPIGWA NA MPIRA WENU WA KIZAMANI ULE HAUNA MIPANGO WALA BURUDANI.
 
POWA HAINA MBAYA NGOJA TUCHEKI FAINALI MNAWEZA KUPIGWA NA MPIRA WENU WA KIZAMANI ULE HAUNA MIPANGO WALA BURUDANI.
Mpira ni magoli tambua hilo. Pia mkuu karibu miaka minne mnatucheka sababu huwa tunafanikiwa na kuna kipindi mkaanza kutuonea huruma Kumbe ilikuwa ni dhihaka tu dah maana mlituchikia mno acheni tule Kaswala haka ila msimu ujao mtalia haswa tutaondoa wazembe wote kikosini
 
MANYUMBU BHANA,KOMBE LENYEWE KAMA KISAHANI,HALINA HADHI,LINACHEZWA SIKU YA FUTUHI,WASHIRIKI WAKE NI WALE MAFAILURE WA UEFA,HALAFU FUJO KIBAO,SIPATI PICHA KAMA MNGECHUKUA UEFA.
 
Man United.

Kuliko kushika namba 2, 3 ama 4, wao hulenga kuwa mabingwa. Hata mashabiki wa Man Utd tumezoezwa hivi. Mambo ya u-best looser sio ya kujivunia kwa Man United fans.

Man United is finally back on big stages of European football. Kazi kwenue haters.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…