Safari ya matumaini ya Manchester United imefika ukingoni.

Njoo utupe mrejesho mkuu. Kama mganga wako alipatia au kala hela yako tu.
 
HahahH mleta mada ni kilaza wa kiwango cha koromije sijui umeificha sura yako wapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mada
 


Hongera kwa utabiri mnono

 
Nimeamua kufunga safari kwenda jijini Manchester kumuuliza Mourinho huu uchawi ametoa wapi..Timu imemaliza namba sita kwenye msimamo wa ligi, lakini ina vikombe vitatu, na inanyatia kingine dhidi ya wababe wa ulaya Juve/Madrid (UEFA SUPER CUP), first eleven yote ni majeruhi lakini vikombe kama kawa, timu inachukua vikombe na wachezaji kama akina lingard, rashford....ndani ya miezi minne timu imecheza meci 38, huku chelsea ikiwa imecheza mechi 17.....aiseee, cha ajabu imeingia kwenye group stage ya champions league...hii ni shortcut ya hatari sana...huku liverpool akibaki kucheza play off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…