Tajiri mkopeshaji
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 613
- 1,445
Bado hajafanikiwa anajitafuta bado!!!Mi naamini mafanikio aliyonayo sasa ni sababu ya kuwa mwema na kusaidia watu wake wa karbu tena wakati anajitafuta ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hajafanikiwa anajitafuta bado!!!Mi naamini mafanikio aliyonayo sasa ni sababu ya kuwa mwema na kusaidia watu wake wa karbu tena wakati anajitafuta ...
Angekopa angechanganyikiwa kabsa mkuu. We huoni hapo amesema huo mtaji aliokuwa nao uliyeyuka kwny biashara ya mazao. Sasa km angekopa angerudishaje iyo hela?Huu uzi hata kama mtu anataka kuacha kazi lazima aogope akiusoma. Imagine msoto wa miaka yote hyo🤣🤣. Kwanini usingekopa hata Million 10 ndo uache kazi ukiwa na Mtaji wa kueleweka?
Sawa kabisa mkuu...ila kwa sasa misoto hainisumbui tena maana nimeishi nayo. Njia bado ni ngumu ila ni njia ya matumaini sio kama mahali nilipotoka. Maadam Mungu yupo najua nitafika japo nitakuwa nimechoka sana.Bado sana hujatoboa, na kuna uwezekano mkubwa ukarudi tena kwenye msoto
Inshort ni kwamba tangu aache kazi miaka tisa iliyopita ili ajiajiri bado hajatoboa. Bado anajitafuta, kapigika vibaya mno lakini bado ana matumaini!Aliyesoma mpaka mwisho atuandikie summary.
What is the main point of the story?