Safari ya miaka 9 tangu kuacha kazi. Hamasa kwa vijana wenye maono makubwa

Huu uzi hata kama mtu anataka kuacha kazi lazima aogope akiusoma. Imagine msoto wa miaka yote hyo🤣🤣. Kwanini usingekopa hata Million 10 ndo uache kazi ukiwa na Mtaji wa kueleweka?
Yeah alikosea padogo pengine hakupata washauri wazuri ila kwa mazoezi na kwata alizopigishwa miaka yote hiyo hatoanguka tena.
Amepata uzoefu wa kutosha hatodanganyika tena na hatolia tena kwa changamoto yoyote itakayojitokeza
 
Big point mleta mada aione hii

Kwanini ndoto uiotayo ikuuwe
 
Barikiwa sana
 
Mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako mzuri. But mm mpk hatua hii nishapata dira niliyokuwa naitafuta. Ni swala la kuanza kutekeleza stage 2 ya my fighting.

Note: kama ulinisoma vema kwenye stage one..nilikuwa natafuta biashara ya kunipatia faida ya 10, 000 tu kwa siku na tayari nimeipata. Hii ina maana sasa ndio naanza utekelezaji rasmi wa maono niliyobeba. Safari yangu ya kuelekea ubilionea ilinitaka kwanza nipate biashara yenye faida ya 10K....huwezi kufika Mia kabla ya kuivuka kumi. By the way aksante sana kwa ushauri mzuri sana
 

Hongera mkuu na pambana sana

Nipo hapa mwenzako nilicha ajira 10 years ago.

Maisha yangu ya kujiajiri nimefanikiwa na nimefeli sana pia lkn ntafanikiwa tena.

Pole kwa kumpoteza mtoto wako, Its not easy bro.

Biashara ya faida Elfu 10 kwa siku ni ndogo sana labda kama hiyo biashara utaifanya in 100 different locations
Kwa siku upate faida 10,000 * 100, hapa utaishi kama mkurugenzi Wizara ya fedha ila sio kama Mo na Bakhresa 😄


Though Bado sijajipata but we can still be rich after 40.
 
Hahaha hH
Hahaha hahaha mkuu hongera sana kwa mapambano.....Naamini na Wewe pia utafanikiwa sanaa.

Nilichojifunza ni kuwa katika kila anguko kuna funzo unapata ambalo linakuinua sana.

Asante kwa kunitia moyo sana....ila amini changamoto zangu zimenijenga sanaa. Ipo siku Mungu akipenda tutabadalishana uzoefu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…