Safari ya Mlandizi mpaka Bagamoyo kwa miguu na tulivyonusurika kushambuliwa na Ngiri

yani nimegundua zamani ndo kulikua na stori ..maisha ya siku hizi sjui tutakuja kuwasimulia nini wajukuu wetu.. au tunawasimulia ya kina mwijaku na spiderman wa bongo?
Siku hizi stiry zipo za kiteknolojia mkuu! Utasimulia jinsi ulivyotapeliwa mtandaoni.
Ila zamani ndio kila kitu fikiria mnapanga safari kabisa mnajua hapa ni kuoiga mguu mwanzo mwisho kilomita za kutosha na mnapita maporoni kujutana na wanyama pori muda wowote tu.
 
ngiri muoga sana..akiona mtu anakimbia.
labda mliona kiboko nyie
Itakuwa ngiri alikuwa na watoto wadogo, wanyama wakiwa na watoto ni wakali sana.
 
Huyo wenyewe wanamuita ofsa mzee wa turbo chui ,simba wenyewe kumkamata mpaka timing.
 
Nimetembea sana mitaa hiyo.
 
Ngiri tu unatetemeka,
Kweli watu wa pwani waoga
 
Maeneo hayo tumewinda Sana nguri tukiwa na vibali vya kuuwa wanyama waharibifu 2003 Hadi 2005 walikuwa wengi mno Ila mmmmh tulifaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…