Safari ya Mlandizi mpaka Bagamoyo kwa miguu na tulivyonusurika kushambuliwa na Ngiri

Zama hubadirika mkuu, hata hao wenzetu walishapitiaga kwenye transition kama hii.
 
Yupo sahihi sana na watu wengi huwa wanawachanganya. Ngiri anaitwa warthog na nguruwe pori anaitwa wildboar. You can google them to satisfy yourself
Yupo sahihi sana na watu wengi huwa wanawachanganya. Ngiri anaitwa warthog na nguruwe pori anaitwa wildboar. You can google them to satisfy yourself
Unaweza kuweka picha zao?
 
Aisee umenikumbusha mbali ulipotaja Kijiji Cha Miswe nimekaa hapo almost mwaka mzima nikiwa Ruvu Fish
 
Ilikuwa mwaka gani hiyo? Mlandizi mpaka Kibwende kuna barabara ya rami mbovu kuelekea mbele Vikuruti,Mbwawa,Miswe bado vumbi.
 
Ungeandika ..."JINSI NGIRI ALIVYOTUOMBEA LIFT KWENYE GARI AINA YA MITSUBISHI PAJERO NA KUHAKIKISHA TUMEPANDA"...
 
Watu wa pwani ni waoga sanandiyo maana mbaogopa ha mijusi na mende,hivi ngiri mnamjua kweli ?

 
Mitsubishi Pajero.
Miaka ile ya mwanzoni mwa 90s zilikuwa zinatumiwa sana na watu Makumbusho na Kijitonyama, kila mkoa ilikuwa huzikosi na plate number zikiwa zimefuatana.
 
ngiri hafi kwa panga usijidanganye na ukimkosa ngiri hesabia umekwisha aukuach kamwe ana kisasi sana mziki wake hata simba hakai
Hawa watu sijui wanadikiri vipi
Mnyama yupo na mwanae halafu umletee upuuzi
Huyo kuku tu akiwa na vifaranga anabadilika si sawa na kuku asie na vifaranga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…