Safari ya Mlandizi mpaka Bagamoyo kwa miguu na tulivyonusurika kushambuliwa na Ngiri

Pole sana ungekutana na mnyama anaitwa Nyegere aisee mngejuta haki ya mama.
 
Sa hivi technology inabadili kila kitu sa hivi ili uwe sehemu ya jamii lazima uwe kwenye social media kama facebook, insta nk bila ivyo utakuwa mpweke na metaverse ikija itakuwa balaa
 
Ngiri ni muoga kushinda chochote. Watu tumesafiri pori hasa. Nilishatembea kutoka kijiji kimoja kinaitwa CHABIMA KIlosa huko mpaka Kilosa mjini. Yaani kijiji hakina gari hata kwa bahati mbaya mnaweza kukaa hata miaka mitatu hakuna gari. Unatoka CHABIMA unaenda LUMUMA kutokezea Kidete ndio mnapanda Treini ni mwendo wa pori hasa. Njiani unapishana na kinyesi kibichi na Tembo na Abeid Mziba. Siku hizi mtu kutoka kariakoo kwenda Kimara anapanda gari. Zamani pori pori.
 
Hii Barabara ina Fursa yeyote jamani.
Fursa zipo tafuta shamba ufuge mifugo(kuku, ng'ombe wa maziwa,samaki nk),then unauza Mlandizi na Dar es salaam.
Vilevile unaweza kulima minazi,minazi Ni biashara kubwa iliyosahaulika.
Tembelea page za mitandao ya kijamii ya Vitabu vya Kilimo ujifunze zaidi.
 
Ahsante.
 
Wanaume wa Dar mnaogopa hadi ngiri!!
 
Huyo hakuwa ngiri. Ngiri nguruwe poli hana ujanja,kwamza alipowaona angekimbia kujificha. Hata hivyo unasema uliona kama ng'ombe,ngiri hana ukubwa wa ng'ombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…