Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi picha mbili zimenisikitisha sanaMama mzazi akimwaga mchanga kama ishara ya kumuaga mwanae GodzillaView attachment 1024294View attachment 1024296
nikajua Numbisa umetoa ww M5!!Nitampa Mama Mzazi wa Godzilla Milioni Tano, nitampa Fid Q ailete kwa Mama Jumatano ili imsaidie kuendelea kuwatunza Wajukuu na kumsaidia kufanya kile alichopanga baada ya kutumia Pesa kwa ajili ya Matibabu ya Godzilla": Mh Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
Nonsense!!Nitampa Mama Mzazi wa Godzilla Milioni Tano, nitampa Fid Q ailete kwa Mama Jumatano ili imsaidie kuendelea kuwatunza Wajukuu na kumsaidia kufanya kile alichopanga baada ya kutumia Pesa kwa ajili ya Matibabu ya Godzilla": Mh Paul Makonda Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.