Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mkuu fursa sio serikali itutafutie bali ni sisi wa kupataTuna maparachichi mazuri
Tuna Asali nzuri tu
Tuna bidhaa zinazotokana na kilimo bora lkn watu wanafuga mifugo nyama tunazo
Lkn serikali hawana nia ya kuwatafutia wananchi fursa kwenye masoko ya nje
Ova
Ila vibali ndio shida wala hawajali
Jaribu kunitumia veg huku kaulize vibali maana hata wao hawajui nani anavitoa