Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Mkuu fursa sio serikali itutafutie bali ni sisi wa kupataTuna maparachichi mazuri
Tuna Asali nzuri tu
Tuna bidhaa zinazotokana na kilimo bora lkn watu wanafuga mifugo nyama tunazo
Lkn serikali hawana nia ya kuwatafutia wananchi fursa kwenye masoko ya nje
Ova
Plastic hazichafui mazingira ila sisi ndo tumeshindwa kutengeneza Sera za kutumia taka za plastic ili zipunguze shida ya ajira kwa Vijana wapewe mafunzo watengeneze vitu mbali mbali tokana na taka za plastic mfano tile,vigae,roof tiles za kuezeka nyumba ,lami,mbao,dizeli,petrol,gas,matofali hii itachochea tatizo la taka kutozagaa mitaani,atakaekufanya atapata pesa,atakaezirecycle atapata pesa kwa kuuza bidhaa zitokanazo na malighafi ya takaWao wamekimbilia wanasema ukikutwa na mfuko fine.....wao wanafikiria kuchuma tu
Ova
Hivi kusaini, maana yake Kenya hatakuwa na ruhusa ya kumuuzia nchi nyengine ispokua China si ndiyo? Sasa hii ina uzuri gani?Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.
Wakati sisi maparachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
Wanaishi kwa shemeji zao huwa wanawaza namna hii....Kusaini makubaliano ni jambo jingine na kuanza kununua,wanaweza hata kusaini Angola
Nafikiri ni assurance ya soko tu ingawa sipo vizuri kwenye mambo ya mikatabaHivi kusaini, maana yake Kenya hatakuwa na ruhusa ya kumuuzia nchi nyengine ispokua China si ndiyo? Sasa hii ina uzuri gani?
Recycling hatuweziPlastic hazichafui mazingira ila sisi ndo tumeshindwa kutengeneza Sera za kutumia taka za plastic ili zipunguze shida ya ajira kwa Vijana wapewe mafunzo watengeneze vitu mbali mbali tokana na taka za plastic mfano tile,vigae,roof tiles za kuezeka nyumba ,lami,mbao,dizeli,petrol,gas,matofali hii itachochea tatizo la taka kuzagaa mitaani
Tutembee kifuaa mbereee!
Sababu tunaamini hatuwezi,Recycling hatuwezi
Ova
Dah...bora niendelee kuendesha guta tu...kuliko kushuka na mwewe halafu nashindwa kuelewa vitu vidogo sana [emoji56][emoji41]Pole sana mkuu jana nimeshuka na mwewe sijui wewe mwendesha guta
Dah...siku usingizi ukikutoka...urudi usome huu Uzi...upya[emoji41]Jana nilishuka hapo nikamkuta mzee wako anatafuta ridhikiView attachment 1081559
Dah...bora niendelee kuendesha guta tu...kuliko kushuka na mwewe halafu nashindwa kuelewa vitu vidogo sana [emoji56][emoji41]
Dah...siku usingizi ukikutoka...urudi usome huu Uzi...upya[emoji41]
Dah...Asante Braza [emoji41]Pole sana
Dah....Ni kweli kabisa Braza....ila Kuna mida unajichanganya kwelikweli [emoji41]Pole sana ndugu yangu maana usilo lijua ni sawa na usiku wa giza nene
Dah....Ni kweli kabisa Braza....ila Kuna mida unajichanganya kwelikweli [emoji41]
Dah...asante Braza [emoji41]Pole
Kwani hayo maparachichi yetu ya mbeya umekwenda huko na kujiridhisha kuwa tuna uwezo kuwalisha wachina kwa kiwango tosha?Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.
Wakati sisi maparachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
Tanzania is yet to be given plant health approval by China so its all still just a dream for you guys, ours is a reality!Tanzania targets China’s $105 million avocado market
Avocados are poised to become green gold, thanks to horticulture industry champions in collaboration with the government for unlocking the multi-million-dollar Chinese market for local growers.www.thecitizen.co.tz