Tatizo viongozi wetuHapa bongo wachina walisaini mkataba wa kununua mihogo mpk leo ni bila bila.
Sisi tunahangaika na vi-nchi vidogo Kama Rwanda na sasa Malawi.Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.
Wakati sisi mapalachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
Sisi tunahangaika na vi-nchi vidogo Kama Rwanda na sasa Malawi.
Serikali ipi hiyo unayosema......labda ya kenya .....Serikali ikitia saini na nyie mchangamkie, sio msubiri wawafanye kila kitu.
Mbona hilo la parachichi tulishatangaziwa kuhusu masoko China isipokuwa kwetu biashara ya parachichi imekuwa monopolized na kampuni mbili,moja ipo Mbeya na nyingine ipo Kilimanjaro.
Sijajua kwanini imekuwa monopolized na hizo kampuni mbili?
Wacha tusubirie kwanza tununue ndege ya mizigoMhh. Nimeiona itv mida hii
Serikali yetu suala la kutafuta masoko nje wako nyuma sana !
Ova
Kusaini makubaliano ni jambo jingine na kuanza kununua,wanaweza hata kusaini Angola
Kweli kabisa mkuu.Siasa ikizidi kila mahali basi mkwamo ni lazima sasa tunapigwa bao kila kona
Masoko mengi ya mazao asilimia kubwa yanaletwa na watu binafsi lkn syo serikaliWachumi wenyewe ndiyo hatuna
Ata nchizote za Afrika mashariki zizalishe maparachichi haziwezi kukidhi soko la Uchina, Soko ni kubwa sana, kwaiyo tusinyosheane vidole kila Nchi ilime itapata sokoUchina ilimradi matunda yawe na ubora.Kweli kabisa mkuu.
Tunashindwa kuziona fursa tunabaki kupambania vyama vyetu vya siasa au kuleta kila kitu kwenye kapu la siasa.
Kwahyo umeona maparachichi tu, dili za maparachichi wakati watu wanatafuta dili za kutengeneza madawa na kuunda magari!!!!!Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.
Wakati sisi mapalachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
Haya haya mapalachichi au kitu kingine? Nani kakwambia mapalachichi yanakosa soko? Wachina wasipokula wahindi inawahusuRais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.
Wakati sisi mapalachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.