Safari ya rais Uhuru, China yatia mkataba na kuifanya Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuuza maparachichi China

Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.

Wakati sisi maparachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
 
Hapa bongo wachina walisaini mkataba wa kununua mihogo mpk leo ni bila bila.
Tatizo viongozi wetu
Serikali yenyewe hatuwaski wakitafuta masoko nje ......
Kwa hatua hiyo ya kenya na China kwenye parachichi itabidi watz wakawauzie wakenya
Tu

Ova
 
Mbona hilo la parachichi tulishatangaziwa kuhusu masoko China isipokuwa kwetu biashara ya parachichi imekuwa monopolized na kampuni mbili,moja ipo Mbeya na nyingine ipo Kilimanjaro.

Sijajua kwanini imekuwa monopolized na hizo kampuni mbili?
 
Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.

Wakati sisi mapalachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
Sisi tunahangaika na vi-nchi vidogo Kama Rwanda na sasa Malawi.
 
Serikali ikitia saini na nyie mchangamkie, sio msubiri wawafanye kila kitu.
Serikali ipi hiyo unayosema......labda ya kenya .....
Viongozi hku hawana muda huo
Mimi ni mpingaji ila kwenye hatua hyo uhuru aliyofikiana na China ni hatua nzuri

Ova
 
Siasa ikizidi kila mahali basi mkwamo ni lazima sasa tunapigwa bao kila kona
Mbona hilo la parachichi tulishatangaziwa kuhusu masoko China isipokuwa kwetu biashara ya parachichi imekuwa monopolized na kampuni mbili,moja ipo Mbeya na nyingine ipo Kilimanjaro.

Sijajua kwanini imekuwa monopolized na hizo kampuni mbili?
 
Kweli kabisa mkuu.

Tunashindwa kuziona fursa tunabaki kupambania vyama vyetu vya siasa au kuleta kila kitu kwenye kapu la siasa.
Ata nchizote za Afrika mashariki zizalishe maparachichi haziwezi kukidhi soko la Uchina, Soko ni kubwa sana, kwaiyo tusinyosheane vidole kila Nchi ilime itapata sokoUchina ilimradi matunda yawe na ubora.
 
Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.

Wakati sisi mapalachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
Kwahyo umeona maparachichi tu, dili za maparachichi wakati watu wanatafuta dili za kutengeneza madawa na kuunda magari!!!!!
 
Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.

Wakati sisi mapalachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
Haya haya mapalachichi au kitu kingine? Nani kakwambia mapalachichi yanakosa soko? Wachina wasipokula wahindi inawahusu
 
Back
Top Bottom