Ya kwenu mtauza Malawi kwa Mutharika.Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.
Wakati sisi mapalachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
Yenu mtauza Malawi na Rwanda si ndio ma partner wenuRais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.
Wakati sisi mapalachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
Hawa wa kwetu bado wanabishana na sieiji
Wacha Uhuru atunyoosheKweli kabisa mkuu.
Tunashindwa kuziona fursa tunabaki kupambania vyama vyetu vya siasa au kuleta kila kitu kwenye kapu la siasa.
Masoko mengi ya mazao asilimia kubwa yanaletwa na watu binafsi lkn syo serikali
Ova
Ata nchizote za Afrika mashariki zizalishe maparachichi haziwezi kukidhi soko la Uchina, Soko ni kubwa sana, kwaiyo tusinyosheane vidole kila Nchi ilime itapata sokoUchina ilimradi matunda yawe na ubora.
Kwahyo umeona maparachichi tu, dili za maparachichi wakati watu wanatafuta dili za kutengeneza madawa na kuunda magari!!!!!
AhahhahaahahahNasikia wanasubiria ndege mpya ya mizigo ili waanze kusafirisha kwenda china
Haya haya mapalachichi au kitu kingine? Nani kakwambia mapalachichi yanakosa soko? Wachina wasipokula wahindi inawahusu
Ya kwenu mtauza Malawi kwa Mutharika.
Siasa zetu na Uchina Mkulu anapaswa anaong'onezwe...nahisi kuna gap kubwa kati Peking na Dodoma...na kuna watu wanaendesha hili zoezi kwa uangalifu sana .....
JPM ni Mfuasi mtiifu wa maono na nyendo za Mzee Julius....yeyote awaye anayem block na UCHINA sasa hamtakii mema.
Uhuru ameenda na Ojwang Raila....Clear msg to the world .....
HATUNA CHA KUPOTEZA KWA KUWA KARIBU SANA NA UCHINA SASA
China itakua inanunua 40% ya maparachichi ya Kenya, majirani wenye akili watumie fursa hii kusafirisha ya kwao kwa mgongo wa Kenya kama ilivyo kwa vitu vingine vyote maana wao kujitafutia soko ni shida, leteni vya kwenu tunaandika vimetoka Kenya kisha tunaongeza cha kwetu juu na moja kwa moja vinapata soko.
Ndio uzuri wa kuwa mjanja na kwenye kutumia ubongo dunia hii, hauwezi ukabarikiwa na kila kitu, kule nje hakutaki ze ze ze yaani lazima ujue jinsi ya kujieleza na kucheza hizi karata.
Wachina ni zaidi ya bilioni moja, aisei soko lote hilo yaani hongera sana rais Uhuru, mbele kwa mbele ikumbukwe kwa maua tu uchumi wetu umeongoza ukanda wote huu na leo unakua kwa 6.3% sasa hapa kwa maparachchi na bado wapo mezani...
------------------------------
The avocado export deal signed, makes China one of the largest importers of the fruit
It is estimated that when the agreement is fully implemented, the Chinese market will absorb over 40 per cent of Kenya’s avocado produce, making it one of the largest importers of the fruit. Other famous destinations of Kenyan avocado include Europe and the US
https://www.nation.co.ke/video/news/4146788-5087884-leudqz/index.html
That is not a problem it how the free markets work, you can not close up your economy and have hopes of prosperity.inapeleka parachichi inatengeneza vipodozi mnakuja uziwa ukila kubali uliwe.
Ndio nakubaliana na wewe kwamba ata kama Africa nzima import parachichi China atutowatosheleza.Ata nchizote za Afrika mashariki zizalishe maparachichi haziwezi kukidhi soko la Uchina, Soko ni kubwa sana, kwaiyo tusinyosheane vidole kila Nchi ilime itapata sokoUchina ilimradi matunda yawe na ubora.
Kabisa mkuu.Wacha Uhuru atunyooshe
nmefanya tofauti.nimetengeneza vitamburisho vya wamachinga irikusudiSerikali yetu suala la kutafuta masoko nje wako nyuma sana !
Ova
Only work......!Hapa kazi tu