Safari ya rais Uhuru, China yatia mkataba na kuifanya Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuuza maparachichi China

Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.

Wakati sisi maparachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.

Maparachichi yetu yananunuliwa sana na South Africa. Halafu yana ubora zaidi ya Kenya.

Hata kama watanunua yote ya Kenya, bado kuna soko kwa maparachichi hapo hapo China kutoka Tanzania.

Soko ni kubwa sana.
 
Kusaini makubaliano ni jambo jingine na kuanza kununua,wanaweza hata kusaini Angola
Sisi zaidi tunamudu mambo ya kipuuzi lakini kwenye makubwa tupo hoi.

Ukitaka kuondoa umaskini katika nchi ni lazima uwe na mbinu zinazowezesha pesa ya mataifa mengine kuja nchini mwako. Na kufanikisha hilo inahitajika werevu na sayansi ya biashara na uchumi. Kwa hilo sisi tupo nyuma sana.

Kwetu sisi, vitengo vyote vilivyotakiwa kushughulika na maendeleo ya nchi, vinashughulika na kazi ya kudhibiti vyama vya siasa na shughuli za kisiasa.
 
Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.

Wakati sisi maparachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
Naomba uedit huo uzi wako mkuu kama hutojali hiyo habari inasomeka hivi kwa kirefu naweka
 
Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.

Wakati sisi maparachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
Mkutano kati ya Rais Kenyatta na mwenzake wa China Xi Jinping huwezesha Kenya nafasi ya kuuza parachichi kwenye soko la China
NA VICTOR ONYANGO
Rais Uhuru Kenyatta leo alikutana na mwenzake wa China Xi Jinping na kusisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiana wa kufaidi upande zote.
Bwana Kenyatta alitoa shukrani yake kwa rais Xi juu ya mafanikio makubwa Jamhuri ya Watu wa China imetoa tangu mwanzilishi wake miaka 70 iliyopita, na zaidi ya watu million 700 waliondolewa katika umaskini hasa.
Rais wa Kenya alisema kuwa mpangilio wa ukanda na barabara huwezesha nchi tofauti kujenga uhusiano wa karibu wa biashara na ushirikiano, kupata utambuzi mkubwa kutoka kwa jumuiya ya kimataifa na kuunganisha gari na viwanda kwa nchi za Kiafrika.
“Kenya ina nia ya kuimarisha ushirikiano na China katika maeneo kama vile maendeleo ya miundombinu ya kukuza mpango zaidi kwa mikoa ya kati na magharibi mwa Afrika,” asema rais Kenyatta.
Rais Xi alieleza kuwa China ina nia ya kufanya kazi na Kenya ili kudumisha kasi nzuri ya ushirikiano katika maeneo mbalimbali kati ya nchi mbili na kati ya China na Afrika kwa kushirikiana kwa pamoja kwenye Ukanda Mmoja na Njia Moja.
Wakati wa mkutano huo, Kenya iliruhusiwa kuuza parachichi kwenye soko la China.
Baada ya kusaini makubaliano ambayo inaruhusu Kenya kuuza parachichi kwenye soko la China, makubaliano hayo yanaweka Kenya taifa la kwanza la Afrika kuhamisha China inayo solo la watumiaji zaidi ya bilioni 1.4 huja baada ya mchakato wa kibali mrefu na wa kina ambao ulijumuisha wataalam wa China kutembelea wakulima wa Kenya.
Inakadiriwa kuwa wakati mkataba utakapotumika kikamilifu, soko la Kichina litachukua zaidi ya asilimia 40 ya kuzalisha avocado ya Kenya, na kuifanya kuwa moja ya waagizaji wengi wa matunda.
Mkutano kati ya rais Kenyatta na Xi walenga lengo la kuendeleza uchanganuzi wa kiuchumi na biashara katika mipango 8 muhimu iliyotambuliwa wakati wa mkutano juu wa China-Afrika (FOCAC) uliofanyika Beijing mwaka jana. Mipango hii ni pamoja na kukuza viwanda, kuwezesha biashara, uunganishaji wa miundombinu, maendeleo ya kijani na kubadilishana watu kwa watu. Wengine ni kujenga uwezo, huduma za afya, na amani na usalama.
Rais Kenyatta yuko Beijing kwa ajili ya kuhudhuria kongamano la pili ya Ukanda mmoja, Njia moja ya ushirikiano wa kimataifa ambayo itafunguliwa rasmi kesho (Ijumaa) na rais Xi Jinping.
 
Wakenya bana,debt offset haiwezekani kwa kuuza parachichi,na hiyo.njaa mlio nayo mtachagua kula maparachichi,au mfanye export lakini mfe kwa njaa
 
Halafu ukitoa parachichi kutoka mbeya iringa kwenda kenya watazuia, yakioza wanafurahi kwa sababu lazima upige kura CCM
 
Subiri airbus ianze kazi ya kwenda china
Rais mstaafu Xian Zamen alisaini hati ya kuruhusu bidhaa zaidi 250 kutoka Tanzania kuingizwa china bila kulipia ushuru
Hakuna nchi yoyote iliopewa bahati hiyo,kwa hiyo tukianza safari na ndege zetu hao wakenya watafeli sokoni tu
Same same stupid tanzanians midomo midomo midomo
 
Wenzetu wametengenezwa fursa ya
Watu wengi.....
Huku kwetu ujanjajanja mwingi ni mtu Mmoja au wawili ndiyo anatengenezewa Mazingira ya ku export bidhaa fulani
Serikali hii ijifunze kwa wenzetu,Ona wenzetu wanavyowatafutia masoko ya bidhaa watu wao
Sisi tangia mbaazi ianguke serikali haijafanya effort yoyote kuiweka Sawa zaidi ya wakulima na wafanyabiashara wa mbaazi waliambiwa tuzile wenyewe!

Ova
 
Hapo ndiyo ujue wametuzidi ujanja kama vile kwenye Tanzanite
Kiufupi kenya wapo vizuri
Huko China amekwenda seal hiyo deal la ku export avocados China......mambo ya sgr naona haikuwa kwenye kipaumbele kwenye safari hiyo
Wakulima na wafanyabiashara wa avacodos kenya watatusua maana China kuna consumers Karibia billion 1 na point

Tanzania sisi tutabakiaga kupiga kelele
Wahusika wamekaa tu na matai yao hawana habari kuwatufutia wananchi huku masoko ya bidhaa zao nje pamoja na kuwawezesha waweze uza bidhaa zao nje

Ova
 
Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.

Wakati sisi maparachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
Kenya hawawezi kutosheleza soko lote la china kinachotakiwa na Sisi tuchangamkie fursa hiyo
 
Ahaaa haaa haaa
Your discourse sounds good. But it lacks important element, the credible source of facts and figures you inserted in here.
Wenzetu wametusua mm mwenyewe mpingaji wao ila kwa hapo nimekuwa mpole

Ova
 
Asilimia 70% ya maparachichi Kenya wananunua Tanzania. Wao Hali ya hewa na mashamba machache
Shukuru mkulima watanzania amepata soko badala ya matunda kumuozea akisubiri maagizo ya chama.
 
Back
Top Bottom