Wewe unatumia kijambio?Same same stupid tanzanians midomo midomo midomo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unatumia kijambio?Same same stupid tanzanians midomo midomo midomo
Mbona Wakenya wanachukua Iringa tena siku nyingi sana fuatiliaHalafu ukitoa parachichi kutoka mbeya iringa kwenda kenya watazuia, yakioza wanafurahi kwa sababu lazima upige kura CCM
Wakuje huku kwa Tukuyu saa hii yapo mengi kweli kweli.Safi sana
Mkuye kwetu myanunue huku kwetu yanaozea shambani
Ujirani mwema
Parachichi hawalijui ,avocado naam wanalijua vizuri😀Sikuwa najua. Niko sure Wakenya wengi hawajui parachichi ni nini
Serikali yetu suala la kutafuta masoko nje wako nyuma sana !
Ova
Same here parachichi nimeskia humu humu JF.......na tikiti maji piaSikuwa najua. Niko sure Wakenya wengi hawajui parachichi ni nini
Inatia huruma sana nchi hii ni kweli mkuu hadi leo wakulima wa mbaazi wameacha kulima zao hiliWenzetu wametengenezwa fursa ya
Watu wengi.....
Huku kwetu ujanjajanja mwingi ni mtu Mmoja au wawili ndiyo anatengenezewa Mazingira ya ku export bidhaa fulani
Serikali hii ijifunze kwa wenzetu,Ona wenzetu wanavyowatafutia masoko ya bidhaa watu wao
Sisi tangia mbaazi ianguke serikali haijafanya effort yoyote kuiweka Sawa zaidi ya wakulima na wafanyabiashara wa mbaazi waliambiwa tuzile wenyewe!
Ova
Wenzetu wakenya wanakuja kununua parachichi na machungwa kwa tsh 100 kila moja alafu wao wanaenda kuuza china na ulaya kwa dollar 5.....Mbona Wakenya wanachukua Iringa tena siku nyingi sana fuatilia
Kazi yao kubwa ni kukimbizana na CHADEMA na ACT wazalendo.Serikali yetu suala la kutafuta masoko nje wako nyuma sana !
Ova
MhhhhKusaini makubaliano ni jambo jingine na kuanza kununua,wanaweza hata kusaini Angola
Mbona hilo la parachichi tulishatangaziwa kuhusu masoko China isipokuwa kwetu biashara ya parachichi imekuwa monopolized na kampuni mbili,moja ipo Mbeya na nyingine ipo Kilimanjaro.
Sijajua kwanini imekuwa monopolized na hizo kampuni mbili?
Yule ni mfanyabiashara mkubwa kwa hiyo si ajabu. Sitaona ajabu ikiwa watakuja kununua kwetu halafu wa export kama zao la kenya. Inatakiwa wizara husika zizinduke bila kungoja amri.Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.
Wakati sisi maparachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
Yule ni mfanyabiashara mkubwa kwa hiyo si ajabu. Sitaona ajabu ikiwa watakuja kununua kwetu halafu wa export kama zao la kenya. Inatakiwa wizara husika zizinduke bila kungoja amri.
Sisi tusubiri kuuzwa tu
Anaota huyoMhhhh
kwa akili zangu za usingizi ningetafuta wateja kenya ili wanunue maparachichi ya njombe,mbeya kilimanjaro na kwingineko afu sasa wale wakinunua na wakiuza uchina na mimi nakua nmeuza uchina indirect maparachichi yangu fursa inakua fursana
Kazi yao kubwa ni kukimbizana na CHADEMA na ACT wazalendo.