Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Sarakasi woyeee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
M-bongo
Tunakusubiri kwa hamu na habari ya Mzee Sitta leo hapo Tabora,na tafadhali kama atalizungumzia suala la kubanwa na NEC-CCM uje utueleze kama ama amekiri kama alifanyiwa vimbwanga na akina Chilligati au na yeye anajiuma-uma kuelezea ukweli kwa watz!
Then,kama una kitu cha kurekodia itakuwa vyema kumnasa akieleza mwenyewe yaliyotokea NEC-Dodoma!
Labda bado anacheck in na Immigration !M-bongo!
Any updates? Nadhani ETA ya Precision Air ni 12:15am hapo TBR?
Dakika 45 zimepita Mkuu au Engineer anacheza TAARAB kwenye Muziki wa HIP-HOP?
Kosa la Spika Sitta n i kulikumbatia sana kanisa kuliko serikali. Huyu ni mtendaji kazi mzuri, lakini doa lake ni yale mapenzi yake makubwa ya kanisa ndio yatayomuangusha.
Ni vyema achague moja ama kulitumikia Kanisa au Serikali. Na ni lazima aonyeshe sura yake hapa , asituzugezuge akidhani sisi ni watoto wadogo.
Sioni sababu ya Sitta kuukumbatia waraka wa uraia uliotolewa na Katoliki. Ikiwa yeye ndio kiongozi mkuu Bungeni, na Bunge ni chombo kikubwa sana kinachoweza kuikosoa serikali. Halafu leo yeye kama kiongozi atuambie eti serikali imeshindwa kutoa elimu ya uraia, Kichekeshoooo!!!!!!! Basi ni bora ajiuzuru, na aende kule anakofikiri kuwa wanaubavu wa kuwahudumia wananchi. Hapa amechemsha na vita hii hawezi kushinda.
Kimsingi ukilikumbatia klanisa utavuma sana kama nguvu ya Pepsi, lakini mporomoko wake huo baadaye ni sawa na mtu anayeharisha. Hebu muangalieni Raisi wa zamani wa Rwanda Habyarimana. Alilikumbatia kanisa kama vile yeye ndiop Baba Askofu.
Haya Kumekucha!!!!!!!!!
mkuu zawadi ngoda
sita asipojishika na Mungu kupitia kanisa atajishika na nani? rostam na lowasa wameshahonga wajumbe wote wa nec, wamegeuka kuwa wanafiki, hawaoni, hawsikii, wameziba masikio yao kwa nta. kwa hali hii akina sitta wajishike na nani? bila shaka amechagua kilicho bora ni Mungu tu atamtoa hapo alipo atuongoze dhidi ya nyangau rostam, lowasa na mafisadi wenzao.
Mungu aliye mkuu atausambaratisha umoja wao uliopatukana kwa fedha za rushwa, na kamwe akina lowasa hawatashinda kamwe