Video hii imenivutia kwa kule kuieleza historia ya TANU na kutoka vyanzo vilivyoko nje ya historia rasmi na kutumia picha alizoacha Ali Msham na nyingine kutoka Nyaraka za Sykes.
Halikadhalika kwa msomaji kutoa maelezo yake kama yalivyoandikwa ndani ya kitabu cha Abdul Sykes.