Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Nimependa uandishi , yaani nilitamani uendelee.
Hongera mleta mada
Hongera mleta mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha..........wakati nyimbo hizo zinatoka tayari nilishakuwa na miaka 63 ndiyo maana saivi nimefunga miaka 78 🤪🤣🤣
Kipindi hiko shule in Sheria Kali lkn unatoroka🙌🙌
Hahaaa Kwa uzee upi ss ulio nao...
Wengi tuliosikiliza nyimbo hizi tuko kati ya 30+....km mkubwa sn labda 40-45
Ubaya sshv nilishahama huo upande , nasikiliza gospel tu Mzee 🤣
🙌🙌🤣Shikamooo babuHahaha..........wakati nyimbo hizo zinatoka tayari nilishakuwa na miaka 63 ndiyo maana saivi nimefunga miaka 78 🤪
Wanasema Old is gold
Fanya unipeleke siku moja Mjukuu nami nikumbuke enzi zetu Vijana wa Zamani 🤗
Marahaba Mjukuu, Babu yenu nimekula chumvi nyingi 🤪🙌🙌🤣Shikamooo babu
Nakumbuka kibao Cha Kuluthumu,
Simfupi simrefu...Kuluthumu mama
Simweupe simweusi...Kuluthumu mama