silent_soldier
Senior Member
- Aug 10, 2015
- 193
- 62
Natamani kukutana na Watanzania pamoja na marafiki mbalimbali nikiwa njiani.
Tarehe 30 Septemba natarajia kwenda Afrika Ya Kusini kwa Basi. Nitasafiri mpaka Msumbiji. Kutoka Msumbiji nitapanda basi la Intercape Moja kwa Moja mpaka Johannesburg, South Africa.
Kutoka JoBurg nitatumia gari mpaka Kimberley South Africa umbali wa Kilomita 427.
Naenda Afrika ya Kusini Kuhudhuria Mashindano ya Kimataifa ya Mchezo wa Skateboarding, World Skateboarding Championships 2015, The Kimberley Diamond Cup at Kumba Skate Plaza.
Mashindano haya yatafanyika kuanzia Tarehe 7 Oktoba Mpaka 10 Oktoba. Ni matarajio yangu kuwa nitakutana na watu wengi na kujenga urafiki.
Mwisho wa yote tunawaomba Watanzania mje kushuhudia Mashindano haya na kumuunga Mkono Mshiriki pekee atakayeiwakilisha Bendera ya 255 Tanzania.
Asanteni.