Safari ya Wema kuelekea bungeni yaishia UWT

Safari ya Wema kuelekea bungeni yaishia UWT

Kumbe kushika mkia sio shuleni tu hadi CCM ipo. Wema Thepetu kashika mkia maskini, ila hata mi ningeshaa kama angepita, ningeona Tanzania ina watu wa ajabu kweli, yaani hadi machangudoa tuwapigie kura kuingia mjengoni?! Hiyo haikubaliki, machangudoa mwisho wao Insta, Front Page za magazeti pendwa na kuuza sura kwenye TV, ila kuingia mjengoni ni big NOOOO!!!!
Sipati picha Watakavyo mchora hao GPL
 
Irene bado sijajua kilichojiri lakini Steve kura za maoni bado...

hivi steve atauweza mziki wa idd Azzan..chaiii Azzan kinondon hakuna wa kummwaga maana wanajua watakosa mianya ya kuuza sembezzz
 
Wema huwezi majivuno ni mengi mno mpaka apunguze majivuno neno moja kigereza watanzania hatuendagi hivyo
 
That's why wanasema siasa ni mchezo mchafu, its true! Jamani Vicky huko geita ni vipi?

Itakua nae kakamatwa nini...ila yeye tayari alikua n mtaji wa wapiga kura atarudi tena
 
hivi steve atauweza mziki wa idd Azzan..chaiii Azzan kinondon hakuna wa kummwaga maana wanajua watakosa mianya ya kuuza sembezzz
Steve ana jisumbua tuu!
 
Wema matimu yake yamemuangusha.Wema akae chini aangalie aue team zote awe neutral anaweza kuja kuwa mwanasiasa mzuri mameneja wamsaidie kumuongoza vzr ataweza kufanikiwa bado binti mdg
 
Back
Top Bottom