hahaaa leo ndimu zingetugeukia aisee...
Haaaa jamani Wema.....
Ajaribu tena baadae
Sipati picha Watakavyo mchora hao GPLKumbe kushika mkia sio shuleni tu hadi CCM ipo. Wema Thepetu kashika mkia maskini, ila hata mi ningeshaa kama angepita, ningeona Tanzania ina watu wa ajabu kweli, yaani hadi machangudoa tuwapigie kura kuingia mjengoni?! Hiyo haikubaliki, machangudoa mwisho wao Insta, Front Page za magazeti pendwa na kuuza sura kwenye TV, ila kuingia mjengoni ni big NOOOO!!!!
Irene bado sijajua kilichojiri lakini Steve kura za maoni bado...
Kila la kheri mkuu
That's why wanasema siasa ni mchezo mchafu, its true! Jamani Vicky huko geita ni vipi?
Teh Teh
Sipati picha Watakavyo mchora hao GPL
Ahahha warumi nimerudi rasmi katika ubora wangu
Hahaaa hana salio tena la kupiga simu...arudi twn kusaka vichwaaa
Aanze harakati mapema
Wema huwezi majivuno ni mengi mno mpaka apunguze majivuno neno moja kigereza watanzania hatuendagi hivyo
Steve ana jisumbua tuu!
Hili Bunge la Nov 2015 natamani Makinda awe Speaker!!
Make Yale mawigi yake yatakuwa yanang'oka kila dei.
Ukiangalia kwa ki upana wanaochaguliwa wengi walianza kukitumikia Chama muda mrefu...Wema aanze Sasa kukitumikia chama hii itamsadia 2020!