Safari ya Wema kuelekea bungeni yaishia UWT

Duuuuh nae wamenyoosha kwa umaarufu wake wote kweli singida hawana masihara wamempa z uso.....muosha nae huoshwaaa na bado watanyooka 2
Nyumbani ni nyumban hat a kama kichakani,so hat a kama bongo movie imevunda hana budi kuirudi asili yake
 
hhahhaaaw... asante sana mi hata nsipofanikiwa najua ntashukuru MUNGU kwa uthubutu wangu ila 2020 kitaeleweka tuu

Mungu akusimamie mwaya, Hongera kwa Wema kura 90 si mchezo, sasa ni wakati wake wa kujipendekeza jimboni kikamilifu 2020 atabadilisha sana matokeo, Ngoja nami nianze 2020 ntasimama nae kama atagombea tena.
 
thnx hao wanaomponda wema hawajielewi ht tulijua hashindi kura 90 ni nyingi sana
mi namsifu kua ameweza kiukweli na atafika tu cha msingi sasa ni muda wa yy kutumikia chama na kukaa mbali na wapambe nuksi
 
Huko ndo ishazima mana kabla ya kukatwa ilikuwa ni kazi ya kupost photo akiwa ametupilia zile jezi za kijan,now ndo hazina soko,labda tusubir wosia wake
Wosia atatoa watu wakishasahau. Bado anaugulia maumivu ya Singida kushukuriwa na 'mdhalilishaji' Diamond.
 
Duh, kakatwaaa...nlisema Mimi wanawake hawampitishi.. Kama mijishangingi huko UWT ndo imejaa plus fitna za hatari. Shikamoo CCM...bora angeenda ACT tuu.
Kumbe ulisema,mmh!! ni jambo jemaila kumwombea njaa jirani yako so good!!
 
Wosia atatoa watu wakishasahau. Bado anaugulia maumivu ya Singida kushukuriwa na 'mdhalilishaji' Diamond.
Naona SAA ivi anatoa chozi zenye ndimu,now atakuwa anajipanga achomoke VIP,mana hay a yaliyotokea so madogo
 
Kumbe ulisema,mmh!! ni jambo jemaila kumwombea njaa jirani yako so good!!

Naijua sana UWT, fitna hatari, bado hajakomaa kuweza kuzikabili, wangekuwa wanaume angehonga papuchi, ila ile mijimama ukiihonga pesa inakula, bia zako wanakunywa na kura hawakupiii...Na hivi upepo wa CCM Ulivyogeukaaa...nlijua ATAKATWAA tuuu
 
Nililia Jana baada ya kujua kura alizopata ni nusu ya mtu ambae sio maarufu na hana Nyota kama yeye. Rula ilihusika.
Usiniambie kama na wewe in moja ya wale watakaonyooka ktk kipindi hiki kigumu..in mtazamo tuu
 
Usiniambie kama na wewe in moja ya wale watakaonyooka ktk kipindi hiki kigumu..in mtazamo tuu
Hahaa. Thubutu! Rula hainihusu,zaidi nasikitika sana vile sikutegemea kama watu watanyooshwa mapema hivi.
 
Naijua sana UWT, fitna hatari, bado hajakomaa kuweza kuzikabili, wangekuwa wanaume angehonga papuchi, ila ile mijimama ukiihonga pesa inakula, bia zako wanakunywa na kura hawakupiii...Na hivi upepo wa CCM Ulivyogeukaaa...nlijua ATAKATWAA tuuu
Ko Wema kaingia choo cha kiume,mwambie aje huku kwetu,kwenye ujumbe wa nyumba10,tutamfikiria japo hata huku kugum
 
Hahaa. Thubutu! Rula hainihusu,zaidi nasikitika sana vile sikutegemea kama watu watanyooshwa mapema hivi.
Haya bana sawa,kama nawaona walionyooka washakua wembamba kama namba moja(1),habari wanayo,ila in vyema ukakimbilia mzani kucheck vilo,mana unaweza uckonde ila yakatokea engine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…