Safari ya Wema kuelekea bungeni yaishia UWT

Safari ya Wema kuelekea bungeni yaishia UWT

1, Huwezi fika dom kwa skendo za magazeti ya udaku

2, huwezi fika dom kwa basi la uwt kirahisi hata kama ungekuwa kardashian! kichwani kwako ni - yani!

3, endelea kubaki in my shoes, japo hupendagi kunitumiaga coz kwenye mahanjam!

ni mm, soksi. msg sent
 
hahahhaaa...asante mine...ile mbona haitoki..
twenzetu kusiniii....mpk kielewekee...!!

najaribu kufatilia mtwara this yr ushindani uko juu san kila nkipiga simu kuulzia wanakuambia huku CCM sijui yaani

Hahaa best nawe mpana nakuombea ufanikiwe huko uitwe mheshimiwa
 
Tatizo misukule yake ya insta imemtia ukichaa eti ana nyota angeambulia kura 90 ***** nyoo yeye aendelee kuuza nyapu tu maana ndio hobby yake leo nimefurah sana

Nyota sigara hiyo huyo ana gundu sugu kila akifanya ki2 anafel cjui movie kafel mara kampuni nayo kafel.....labda kazi ile kwa mbali anaweza japo cku hizi kizazi cha wahongaji kimepungua ataishia kupigwa free p
 
Hee hee maana matha alikuwa akilingia ubunge watoto anawamwagia poket money za kuchezea hadi hawasomi baba anakasirika lakini hana jinsi hii itakuwa habari njema kwake
Jamaa kafurahi sana..ndoa nyingi huwa mashakani kwaajili ya siasa..
 
diva beyonce umesoma mchezo vizuri hata mgombea huyu wa urais sisiem anajihofia na huko bungen ndo patashika upinzan wamecharuka i see litakua bunge la mseto na hapo ndipo kaz zitafanyika kwa displine.

charty mpe pole bhana Le madame kakatwa aisee,
 
Last edited by a moderator:
Mweeeh huruma mtu mwenyewe hata hajielewi anaongea code mixing tu kiswahili si kiswahili kiingereza si kiingereza basi ilimradi tafurani

Chibu ni kiboko wa2 wanarudi kutoka singida n fuso la mizigo...dai ni kma pasi ananyoosha mpka maturubai na watanyooka tu....cku zote mungu hawezi kumpa m2 ki2 adhuru wengine huyu bibie angepita ingekua shida
 
warumi tumeroga imewezekanaa hureeeeeeeeeeee dawa zetu kaliuii aisee niliamini hapiti,nikaona ninyamazeee,asante mola maana tusingepumuaaa humu ndanii
 
Last edited by a moderator:
Kama namuona bos wangu professor Runyoro anavyoshangilia anguko la mtalaka wake Matha

Martha nmefurahi alivyopigwa chini maana hana uwezo wa kujenga hoja.Yupo kimipasho kwa koti la ulokole,kama inshu ya Sugu ndo nilimuona hovyo tu.
 
Wale waliona ni Ku rahisi simply ua star then ubunge kiurahisi, wakati kuna wenzao wamekitumikia chama na wanafahamika. Kweli kuna wenyewe hvi vyama.

CCM ina wenyewe ye km anataka aanze sasa kutumikia chama hapo ubunge labda 2025 ndo watampa
 
Back
Top Bottom