Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
Pengine asubiri huruma ya NEC...au Rais anaweza kumpa ubunge..
Ruta huyo raisi wa kumpa wema ubunge yuko wapi? Magufuli au dr slaa wampe wema ubunge!!! Subutuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine asubiri huruma ya NEC...au Rais anaweza kumpa ubunge..
Ruta huyo raisi wa kumpa wema ubunge yuko wapi? Magufuli au dr slaa wampe wema ubunge!!! Subutuuu
Asante binamu ila nilisota aisee tangia asubuhi jamani zoezi lenyewe lilikua linaenda taratibu yani. Mwaka uu hatari sanaHongera kwa kujiandikisha binamu
Mpwa hii habari imekufurahisha saana enhee
Kama namuona bos wangu professor Runyoro anavyoshangilia anguko la mtalaka wake MathaMartha kawa Mnyonge kweli...! Sasa Wema aendelee na harakati
hahahhaaa...asante mine...ile mbona haitoki..
twenzetu kusiniii....mpk kielewekee...!!
najaribu kufatilia mtwara this yr ushindani uko juu san kila nkipiga simu kuulzia wanakuambia huku CCM sijui yaani
Hahaaa labda rais wa fm academia au rais wa vigodoro
Tatizo misukule yake ya insta imemtia ukichaa eti ana nyota angeambulia kura 90 ***** nyoo yeye aendelee kuuza nyapu tu maana ndio hobby yake leo nimefurah sana
Teh Teh leo anafanya sherehe....
Jamaa kafurahi sana..ndoa nyingi huwa mashakani kwaajili ya siasa..Hee hee maana matha alikuwa akilingia ubunge watoto anawamwagia poket money za kuchezea hadi hawasomi baba anakasirika lakini hana jinsi hii itakuwa habari njema kwake
diva beyonce umesoma mchezo vizuri hata mgombea huyu wa urais sisiem anajihofia na huko bungen ndo patashika upinzan wamecharuka i see litakua bunge la mseto na hapo ndipo kaz zitafanyika kwa displine.
Mweeeh huruma mtu mwenyewe hata hajielewi anaongea code mixing tu kiswahili si kiswahili kiingereza si kiingereza basi ilimradi tafurani
Kama namuona bos wangu professor Runyoro anavyoshangilia anguko la mtalaka wake Matha
Hahaa best nawe mpana nakuombea ufanikiwe huko uitwe mheshimiwa
Wale waliona ni Ku rahisi simply ua star then ubunge kiurahisi, wakati kuna wenzao wamekitumikia chama na wanafahamika. Kweli kuna wenyewe hvi vyama.
Pengine asubiri huruma ya NEC...au Rais anaweza kumpa ubunge..