fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Nipo huku mkuu japo mimi Simba ila wananchi mmeuteka mji leo Kigali imegeuka kua kariakooWatu walio Nyamirambo watupe ripoti ya mambo yalivyo huko..
Hizo coaster zinakutesa mwenyewe.Wananchi walivyojiandaa na kwenda kigali tumewatesa wengi sana.
Sasa wanababaika hovyo, kuandika upuuzi wa kila aina. Tumetisha.
wanasafiri kwa malori?Hizo coaster zinakutesa mwenyewe.
Timu kubwa hazisafiri na coaster Wala hazina mchecheto.