Safari ya Yanga kwenda Rwanda imewatesa wengi

Safari ya Yanga kwenda Rwanda imewatesa wengi

Wananchi walivyojiandaa na kwenda kigali tumewatesa wengi sana.

Sasa wanababaika hovyo, kuandika upuuzi wa kila aina. Tumetisha.
Hizo coaster zinakutesa mwenyewe.

Timu kubwa hazisafiri na coaster Wala hazina mchecheto.
 
Back
Top Bottom