Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 270
- 450
Habar wakuu,
Katika maisha, kila mtu huishi kwa njia tofauti, na wengine huishi kwa kuamini kuwa ipo siku watatoka na kufanikiwa kimaisha kupitia kitu flani (live 4 ur dream).. Binafsi mimi napenda Sanaa na naamini kuwa ninacho kipaji kikubwa cha ku-act.
Nakumbuka nilijaribu sana kuwatext wasanii weng wa maigzo kupitia akaunti zao na fan blogs zao, nikiwaomba wanisaidie ili niweze kuonesha kipaji changu bila mafanikio.Siku moja nilimtext mdogo wake Odama na akaniahidi kuwa ataongea na dada ake lakini mpaka leo sijaona jibu lolote kutoka kwake!
Kila siku najipa moyo na napenda siku moja niwe kama au zaid ya Role Model wangu ambae kwa sasa ni marehemu (R.I.P Kanumba), na siku moja napenda kusimama katka muvi moja na Jaden Smith.
Naomba Mungu aniongoze katka kutimiza ndoto yangu, na kitu kinachonipa imani na nguvu ya kutokata tamaa ni wimbo wa R. Kelly - I believe I can fly..
Kwa yeyote anaeweza kunifikisha sehemu ambayo naamini naweza nikatmiza ndoto zangu, anakarbishwa kwa maoni, ushauri au msaada.
Asante..