View attachment 35729h
Ndugu zangu mwezi uliopita nilifika Nyumbani Tanzania na kwa Neema ya Mungu nikajipatia Mke mwema

h

Ndugu zangu mwezi uliopita nilifika Nyumbani Tanzania na kwa Neema ya Mungu nikajipatia Mke mwema

Ndugu Makondo,

Wewe sema tu umepata mke, maana kwa sasa huwezi kujua kama kumpata huko ni dalili za neema za Mungu kweli au ni balaa na kwa hakika hujui kama ni mwema au mwovu. Subiri siku ziende halafu tuandikie tena. Huenda ukawa na maoni tofauti kuhusu yeye! Kwa sasa nakushauri tu uombe, tena sana, ili kweli awe mwema. Good luck and all the best.

Mkuu huyu nilimwacha huko nyumbani kabla sijaja hapa nilipo kwa sasa so majira yalipofika nikarudi nyumbani kwenda kukamilisha shuhuli yenyewe. Kama ningetafuta mwingine hapa nilipo hii inamaanisha kwamba mtu angeachwa solemba huko nyumbani jambo ambalo nadhani si la kiungwana
Nimeondoka naye Mkuu ahsante sana kwa hiari yako ya Ulinzi

Umeondoka naye,au umemwacha tena?Waungwana tunataka tukusaidie katika maswala ya ulinzi,hasa km umemwacha tena.Kipindi kile tumekusaidia sana kulinda ndo maana umeweza kumkuta salama.