Safari yangu Nyumbani hivi Karibuni

Safari yangu Nyumbani hivi Karibuni

Makondo, habari njema hii....kila la kheri katika maisha 'mapya'! Btw, I like her smile.....looks so sincere!

h

Ndugu zangu mwezi uliopita nilifika Nyumbani Tanzania na kwa Neema ya Mungu nikajipatia Mke mwema

<br /
unajua sikuelewi, ulishinikizwa na mkeo kuleta post hii ili kumdhihirishia upendo au nin wewe ambaye kwenye mahusiano yenu unadhani umebahatika? ni mapema_ungepeleka cheleko cheleko Tbc , hapa ungekuja kwa jubilei ya some years

Ndugu Makondo,

Wewe sema tu umepata mke, maana kwa sasa huwezi kujua kama kumpata huko ni dalili za neema za Mungu kweli au ni balaa na kwa hakika hujui kama ni mwema au mwovu. Subiri siku ziende halafu tuandikie tena. Huenda ukawa na maoni tofauti kuhusu yeye! Kwa sasa nakushauri tu uombe, tena sana, ili kweli awe mwema. Good luck and all the best.

kinywa huumba nae kaumba wa kwake kuwa mwema so km wa kwako alikuwa yai bovu pole sana kwako mtandu na hongera kwa bwana Makondo

hongereni sana wapendwa,

mmpendeza hadi mwisho wa lami ya ulimbwende/utanashati.

baraka za Mungu zisiwaache siku zote za maisha yenu

jina la Bwana libarikiwe!

Mkuu huyu nilimwacha huko nyumbani kabla sijaja hapa nilipo kwa sasa so majira yalipofika nikarudi nyumbani kwenda kukamilisha shuhuli yenyewe. Kama ningetafuta mwingine hapa nilipo hii inamaanisha kwamba mtu angeachwa solemba huko nyumbani jambo ambalo nadhani si la kiungwana

Umeondoka naye,au umemwacha tena?Waungwana tunataka tukusaidie katika maswala ya ulinzi,hasa km umemwacha tena.Kipindi kile tumekusaidia sana kulinda ndo maana umeweza kumkuta salama.

Umeondoka naye,au umemwacha tena?Waungwana tunataka tukusaidie katika maswala ya ulinzi,hasa km umemwacha tena.Kipindi kile tumekusaidia sana kulinda ndo maana umeweza kumkuta salama.
Nimeondoka naye Mkuu ahsante sana kwa hiari yako ya Ulinzi

Lakn mbona ka wanaume wote au ni macho yangu ndo yana makengeza?

Back
Top Bottom