Ugeni wangu wa Zanzibar ulifana sana!
Nimeshuhudia mengi na kujifunza mengi sana;
Nimejifunza wazanzibari wengi wanaishi kijamaa sana!
Wazanzibari Wana utaratibu wa kufuatilia wageni kimyakimya kwa kila mgeni anaeonekana mtaani ili kujiridhisha alipofikia na kujua ni mgeni wa nani; Hivyo ni vigumu sana magaidi kujipenyeza Zanzibar wasijulikane!
Pamoja na lafudhi nzuri ya Wazanzibari hususani wanawake! Nimejifunza pia wanawake wa Kizanzibari wanaadabu sana kwa waume zao tofauti na kwetu bara!
Pia, mwanaume wa Kizanzibar kuoa wake wawili au watatu si ajabu sana, lakini Ajabu kubwa ni pale mwanaume anazeeka na mwanamke mmoja!
Kilichonikera zanzibar ni kimoja tu, wanaubaguzi wa kutoa nyapu kwa watu wa bara , bora akaolewe mke wa nne kwa mzanzibar kuliko kuolewa bara!
Hadi leo narudi zangu bara, nimejifunza misamiati mingi sana ya Kiswahili! Ikiwemo matairi wanaita Ma-ring'i, bomba wanaita mfereji, Chepe wanaita Pauro na geti wanaita Jitobo n.k
Niko naelekea zangu kupanda CHOMBO!
Tutakutana kwenye mitaa ya dar kesho Jumatatu InshaAllah!