Safari yangu ya kwenda Bulombola ilivyonikutanisha na Mrembo wa Kaskazini

Safari yangu ya kwenda Bulombola ilivyonikutanisha na Mrembo wa Kaskazini

Uwiiiiiiiih Mambo ya jkt haya khaaaaaah, sitak kukumbuka pale kabuku (Mgambo - Tanga)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mgambo 835KJ,halafu nikakatwa bogi kwenda CHITA JKT,welldone jkt nimetoka nimewiva mno,na faida zake naziona nikianza safari ni mbele tu ,nyuma sirudi hata kama nimebakiwa na 1usd mmmm COL.MTONO NA LT.COL.SANGA(chita jkt),ahasanteeni sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hongera Sana usisahau kwenye michungwaaaaa lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me siwez kusahau nlipata kitengo officers mess kule michungwani 821 nkazidisha wepesi nkacheza na vitafunwa vyao acha nvitumikie
Msosi wa jeshi sifa kuutumikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom