Safari yangu ya Treni kutoka Dar mpaka Moshi ilivyokuwa

Safari yangu ya Treni kutoka Dar mpaka Moshi ilivyokuwa

Nuts ndiyo zinafunga na kuunganisha reli moja na nyingine, zitaondolewaje? Pia reli haiwezi kuungwa kwa welding iwe continuous kwa sababu itapinda, so ni lazima kuwe na gaps ili iki expand kuwe na clearance. Sababu ya mwendo mdogo ni kwamba like tuta siyo imara baada ya kuachwa 25 yrs
Km 35 kwa saa

Ila wanarekebisha kwa kuondoa zile nut ili iwe continuous ili spidi iwe 70kph

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nuts ndiyo zinafunga na kuunganisha reli moja na nyingine, zitaondolewaje? Pia reli haiwezi kuungwa kwa welding iwe continuous kwa sababu itapinda, so ni lazima kuwe na gaps ili iki expand kuwe na clearance. Sababu ya mwendo mdogo ni kwamba like tuta siyo imara baada ya kuachwa 25 yrs

Sent using Jamii Forums mobile app
Good qn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hii iliishia wapi
Wanaunganisha reli na wanabadilisha na kuweka vyuma vioana na imara zaidi ili likimbie, spidi ya sasa la abiria ni 50km per h na mizigo ni 35kph, baada ya haya marekebisho la abiria litatembea 80kph na mizigo litakiwa 50kph

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom