Km 35 kwa saa
Ila wanarekebisha kwa kuondoa zile nut ili iwe continuous ili spidi iwe 70kph
Sent using Jamii Forums mobile app
Good qnNuts ndiyo zinafunga na kuunganisha reli moja na nyingine, zitaondolewaje? Pia reli haiwezi kuungwa kwa welding iwe continuous kwa sababu itapinda, so ni lazima kuwe na gaps ili iki expand kuwe na clearance. Sababu ya mwendo mdogo ni kwamba like tuta siyo imara baada ya kuachwa 25 yrs
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaunganisha reli na wanabadilisha na kuweka vyuma vioana na imara zaidi ili likimbie, spidi ya sasa la abiria ni 50km per h na mizigo ni 35kph, baada ya haya marekebisho la abiria litatembea 80kph na mizigo litakiwa 50kph
Sent using Jamii Forums mobile app