luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hongera sanaa mtoa UZI
Yaan umejitahidi kweliiii kutuonyesha kiwango chako cha umbumbumbu (ignorance) ila mm napendaa nikufahamishe kuna kitu kwankimombo wanakiita NETWORK hii sio ile ya kuwezesha mawasiliano ya simu HAPANA, NETWORK ni mtandao ambao mtu hupata pale anapo kutana na watu tofauti tofauti kwa mfano yule dada kwa kuhudhuria tu pale amejitengenezea rasmi network na baadhi ya washirika alio pata nafasi ya kuzungumza nao wata share idea mbali mbali za mafanikio iwe kwake yy binafsi au kiujumla na mwajiri wake (simba sc) ukitaka kuamini hilo
Siku moja muongozane na yule dada muende pale Misri ktk ofisi za caf mwenzio atakuwa anafahamika tayari hata na walinzi wa getini tu ila ww utakumbana na vikwazo
Kwa hiyo network ni kitu muhimu mdogo wetu