Safari za Kanda ya Ziwa

Safari za Kanda ya Ziwa

woiso woiso

Member
Joined
Feb 20, 2021
Posts
47
Reaction score
44
Usafiri wa mabasi kutoka Dsm kwenda Mwanza kumekua na mchuano mkali wa biashara kati ya kampuni mbili Allys star bus, Katarama express wana jamiiF huko kanda ya ziwa kunani?
 
Hata mm nashangaa Sana hii rute
Imekua mchuano mkali Sana
Na bado n parefu nafkir n hiyo nauli
Wanakula parefu 65k per head

Kwa upande wa Arusha naona
Ahsante rabi Hana mpinzan Arusha to mwanza aiseee huduma zao n safi Sana alaf yeye anaanzia Arusha moja Kwa moja.
 
Weee naijua hiyo
Image_1683708808.jpg
 
Back
Top Bottom