woiso woiso
Member
- Feb 20, 2021
- 47
- 44
Usafiri wa mabasi kutoka Dsm kwenda Mwanza kumekua na mchuano mkali wa biashara kati ya kampuni mbili Allys star bus, Katarama express wana jamiiF huko kanda ya ziwa kunani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe basi nalo hututoka duhWeee naijua hiyoView attachment 2616500
Wasukuma hawaangali uchakavu wanaangalia chuma inayoenda na mudaWapi Satco dom to mwanza na premier ya mbeya halooo hizi chuma zina tembea balaaa