Safari za nje ya nchi

Safari za nje ya nchi

Samtee

Member
Joined
May 2, 2018
Posts
89
Reaction score
118
Inakuaje sikuizi watu wengi wanataka kusafiri nje sanasana kwa ajili ya kazi. Magroup ni mengi na wahamasishaji ni tele pia.
Sasa nikupashe labda uwe na ndugu zako nje au umepata mpenzi la sivyo watakao tokea kukusaidia ni wachache.
Nyakati zimebadika njia rahisi ya kwenda nje ni either utalii au masomo na kampuni ni nyingi kozi nyingine ni cheap na wengi wanaweza kuzisoma humu, mfano ukiwa mwanafunzi unapta uhakika wa malazi, unasoma na unakua na uhakika zaidi ivyo ni rahisi kujua namna ya kubaki.
Izi kazi zinazo kua advertised ni ngumu kupata competition iko pale juu. So fikiri mara miamia
 
Back
Top Bottom