Safari za usiku bila mtoto mkali pembeni hazinogi

Safari za usiku bila mtoto mkali pembeni hazinogi

Habar za mudahuu ndugu zangu,..nipo safarini from dar to Arusha na bus la BM T817 DY.. ila safar naiona imepoa mnooo,..Mana hapa nimekaa na Bibi mtu mzima..amelala tangu mwanzo wa Safari pale shekilango had Sasa tupo mkata....

Kiukweli ni full michosho,..TV zao nazo hazieleweki zinapga nyimbo za kidwanz balaaa...no usingiz no vaibu..inshort next tym sitorudia makosa...
Kaz iendelee ,..
Ungekupa vitu ndio usafiri
 
Huo uroho wako wa mademu utakuja kukaa siti moja na jini maimuna lenye maumbile ya pisi kali
 
Ungeenda riverside ukaopoa kamoja ukaruka nako shida nini baharia?
 
Habari za muda huu ndugu zangu,

Nipo safarini kutoka Dar es Salaam kwenda Arusha na basi la BM T817 DY. Safari inaonekana kuwa ya kawaida sana, maana hapa nimekaa na bibi mtu mzima ambaye amelala tangu mwanzo wa safari pale Shekilango hadi sasa tupo Mkata.

Kiukweli, ni full michosho. TV zao nazo hazieleweki, zinapiga nyimbo za kidwanzi balaaa. Hakuna usingizi, hakuna vibe. Kwa ufupi, safari ijayo sitarudia makosa haya.

Kazi iendelee, mitano tena kwa mama...
Bibi wa watu kakukosa nini unamzungumzia hapa?
 
Back
Top Bottom