Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Nimekua nikiongea na zuku fibre but wana delay kuleta kwa location yangu, thinking of relocating, but uvivu ya kuhama nayo!?
Ile siku nikipata fibre kwa nyumba! Hee, campuni zitakua zinachekelea kwa bank.... but for now mi hutumia wifi router, na tv haina ip, hua na connect PC na Tv screen
Ile siku nikipata fibre kwa nyumba! Hee, campuni zitakua zinachekelea kwa bank.... but for now mi hutumia wifi router, na tv haina ip, hua na connect PC na Tv screen
Kafrican Internet kiwango hicho wacha kununua safaricom, weka Fiba ama zuku kama matumizi yako ipo Juu hivo ama unatumia na ipTv. Unaharibu pesa bure