Safaricom can't afford Ethiopia's fee for an operation licence

Safaricom can't afford Ethiopia's fee for an operation licence

To afford $1 billion license fee, Tanzania would have to mobilize the profits of all its telcos, banks, supermarkets, Bakhresa, and mining companies. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
And they would still not raise the amount.
Is there a man richer than Bakhersa in Kenya? Mnatumia Azam Tv ninyi Wakenya kumbukeni hiyo ni ya Bakhesa. Azam Tv imedhamin hadi ligi kuu yenuπŸ˜‚πŸ˜‚.. af mnakuja na dharau zenu hapa.. Azam TV inakaribia kumpiku Multichoice katika ukanda wa SADC, msifananishe vitu vya kijinga na Bakhersa.
 
Is there a man richer than Bakhersa in Kenya? Mnatumia Azam Tv ninyi wakenya kumbukeni hiyo ni ya Bakhesa.. Azam Tv imedhamin hadi ligi kuu yenuπŸ˜‚πŸ˜‚.. af mnakuja na dharau zenu hapa.. Azam TV inakaribia kumpiku Multichoice katika ukanda wa SADC... msifananishe Vitu vya kijinga na Bakhersa

Lol. I have never encountered any Kenyan who knows somebody who has Azam TV.
Azam faida yake hata haiwezi fikia Citizen TV.

Bakhresa faida yake ya mwaka is the equivalent of a small sacco hapa Nairobi.
 
Na bado usisahau vile vifurushi vya ofa ukijiunga kupitia t-pesa kwa 1000Tsh unapata 1GB + 5 min all network+ 100 sms kuna kifurush cha halichachi kwa 500 Tsh unapata 300mb utumie mpaka umalize mwenyewe tu hahahahaha kweli nyumban kumenoga TZ mambo ya data nafuu sana ndo mana wasanii wetu wapo juu na watabaki kuwa juu mawinguni watabaki kileleni.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kweli Tz iko nyuma ya Kenya.
 
Lol. I have never encountered any Kenyan who knows somebody who has Azam TV.
Azam faida yake hata haiwezi fikia Citizen TV.

Bakhresa faida yake ya mwaka is the equivalent of a small sacco hapa Nairobi.

One of his properties, he has 7 of them each costs more than $5m
 
Lol. I have never encountered any Kenyan who knows somebody who has Azam TV.
Azam faida yake hata haiwezi fikia Citizen TV.

Bakhresa faida yake ya mwaka is the equivalent of a small sacco hapa Nairobi.
Hahaha we jamaa, Citizen Tv channel moja ukilinganisha huwez linganisha na Azam Tv. Azam Tv wana haki ya kurusha matangazo katika ligi ya Tz Rwanda, Uganda na Burundi, ina channel zake zenywe 6. Inaonyesha La Liga FA Cup na haki zingine kibao. Huwez ukafananisha a conglomerate na kakichannel chenu icho.
 
Lol. I have never encountered any Kenyan who knows somebody who has Azam TV.
Azam faida yake hata haiwezi fikia Citizen TV.

Bakhresa faida yake ya mwaka is the equivalent of a small sacco hapa Nairobi.

AZAM factories in Uganda
 
Lol. I have never encountered any Kenyan who knows somebody who has Azam TV.
Azam faida yake hata haiwezi fikia Citizen TV.

Bakhresa faida yake ya mwaka is the equivalent of a small sacco hapa Nairobi.

Azam real estate projects in Zanzibar
 
Lol. I have never encountered any Kenyan who knows somebody who has Azam TV.
Azam faida yake hata haiwezi fikia Citizen TV.

Bakhresa faida yake ya mwaka is the equivalent of a small sacco hapa Nairobi.

Azam Fc, There is no football club in Kenya matching Azam Fc, this is their home stadium full of fans
 
Is there a man richer than Bakhersa in Kenya? Mnatumia Azam Tv ninyi wakenya kumbukeni hiyo ni ya Bakhesa.. Azam Tv imedhamin hadi ligi kuu yenu[emoji23][emoji23].. af mnakuja na dharau zenu hapa.. Azam TV inakaribia kumpiku Multichoice katika ukanda wa SADC... msifananishe Vitu vya kijinga na Bakhersa
Azam tv my foot[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sijawai ona mtu akitumia huo ujinga
 
Safaricom can do that easily with 1.5 years of profit.
It's just a matter of priorities. Whether to invest the profit or pay dividends to shareholders like me.
And Ethiopian market will be waiting for u to do a 1.5 years of profit, right?
 
Hebu tulia jombaa, Equity Bank ya Kenya imeshaingia Ethiopia(nchi ya 11 kwa Equity, barani Afrika), KCB nao wanawafata nyuma. Ndio manufaa ya kuwa na rais anayejua lugha ya biashara, kama rais Abiy, sio kama yule mbabaishaji wenu. Nyinyi hapo hata kuingia kwenye 'mikoa' yenu ya Rwanda na Burundi mmeshindwa.
Is Equity Kenyans bank?
 
[emoji23][emoji23]royal media services.. hata tanzania tu haijafika... Azam ipo inchi 10 Africa
Umeelewa kwanza nilicho kwambia, watanzania jamani..
Elimu elimu elimu...km hujui si uulize ni nn jamani, mi nitakueleza
 
Umeelewa kwanza nilicho kwambia, watanzania jamani..
Elimu elimu elimu...km hujui si uulize ni nn jamani, mi nitakueleza
Huwez eleza kitu cha maana wewe... wakenya ni much know tu.. hamna kitu mnaweza kubali mmezidiwa... so kaendelee kutumia Azam TV japo unazuga hauifahamu
 
Huwez eleza kitu cha maana wewe... wakenya ni much know tu.. hamna kitu mnaweza kubali mmezidiwa... so kaendelee kutumia Azam TV japo unazuga hauifahamu
Azam tv hta sijui ipoje, ila nina uhakika hko uliko mangi anakuuziaga bidhaa za kutoka kenya karibia kila siku
 
Back
Top Bottom