Is there a man richer than Bakhersa in Kenya? Mnatumia Azam Tv ninyi Wakenya kumbukeni hiyo ni ya Bakhesa. Azam Tv imedhamin hadi ligi kuu yenuππ.. af mnakuja na dharau zenu hapa.. Azam TV inakaribia kumpiku Multichoice katika ukanda wa SADC, msifananishe vitu vya kijinga na Bakhersa.To afford $1 billion license fee, Tanzania would have to mobilize the profits of all its telcos, banks, supermarkets, Bakhresa, and mining companies. π π π π
And they would still not raise the amount.
Is there a man richer than Bakhersa in Kenya? Mnatumia Azam Tv ninyi wakenya kumbukeni hiyo ni ya Bakhesa.. Azam Tv imedhamin hadi ligi kuu yenuππ.. af mnakuja na dharau zenu hapa.. Azam TV inakaribia kumpiku Multichoice katika ukanda wa SADC... msifananishe Vitu vya kijinga na Bakhersa
πππππππππ Kweli Tz iko nyuma ya Kenya.Na bado usisahau vile vifurushi vya ofa ukijiunga kupitia t-pesa kwa 1000Tsh unapata 1GB + 5 min all network+ 100 sms kuna kifurush cha halichachi kwa 500 Tsh unapata 300mb utumie mpaka umalize mwenyewe tu hahahahaha kweli nyumban kumenoga TZ mambo ya data nafuu sana ndo mana wasanii wetu wapo juu na watabaki kuwa juu mawinguni watabaki kileleni.
Lol. I have never encountered any Kenyan who knows somebody who has Azam TV.
Azam faida yake hata haiwezi fikia Citizen TV.
Bakhresa faida yake ya mwaka is the equivalent of a small sacco hapa Nairobi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kweli Tz iko nyuma ya Kenya.
Hahaha we jamaa, Citizen Tv channel moja ukilinganisha huwez linganisha na Azam Tv. Azam Tv wana haki ya kurusha matangazo katika ligi ya Tz Rwanda, Uganda na Burundi, ina channel zake zenywe 6. Inaonyesha La Liga FA Cup na haki zingine kibao. Huwez ukafananisha a conglomerate na kakichannel chenu icho.Lol. I have never encountered any Kenyan who knows somebody who has Azam TV.
Azam faida yake hata haiwezi fikia Citizen TV.
Bakhresa faida yake ya mwaka is the equivalent of a small sacco hapa Nairobi.
Lol. I have never encountered any Kenyan who knows somebody who has Azam TV.
Azam faida yake hata haiwezi fikia Citizen TV.
Bakhresa faida yake ya mwaka is the equivalent of a small sacco hapa Nairobi.
Ho owns an insae 5 star hotel.. that only ni zaid ya citizen tvLol. I have never encountered any Kenyan who knows somebody who has Azam TV.
Azam faida yake hata haiwezi fikia Citizen TV.
Bakhresa faida yake ya mwaka is the equivalent of a small sacco hapa Nairobi.
Lol. I have never encountered any Kenyan who knows somebody who has Azam TV.
Azam faida yake hata haiwezi fikia Citizen TV.
Bakhresa faida yake ya mwaka is the equivalent of a small sacco hapa Nairobi.
Lol. I have never encountered any Kenyan who knows somebody who has Azam TV.
Azam faida yake hata haiwezi fikia Citizen TV.
Bakhresa faida yake ya mwaka is the equivalent of a small sacco hapa Nairobi.
Lol. I have never encountered any Kenyan who knows somebody who has Azam TV.
Azam faida yake hata haiwezi fikia Citizen TV.
Bakhresa faida yake ya mwaka is the equivalent of a small sacco hapa Nairobi.
Sikuwah jua wakenya ni wajinga kiasi hichi... wanajiskia mno!!!their fall is nearAzam Fc, There is no football club in Kenya matching Azam Fc, this is their home stadium full of fans
Azam tv my foot[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sijawai ona mtu akitumia huo ujingaIs there a man richer than Bakhersa in Kenya? Mnatumia Azam Tv ninyi wakenya kumbukeni hiyo ni ya Bakhesa.. Azam Tv imedhamin hadi ligi kuu yenu[emoji23][emoji23].. af mnakuja na dharau zenu hapa.. Azam TV inakaribia kumpiku Multichoice katika ukanda wa SADC... msifananishe Vitu vya kijinga na Bakhersa
Ushawai sikia kitu inajiita royal media services..nadhani ukipata ufahamu utawacha kuilinganisha na azam tvHo owns an insae 5 star hotel.. that only ni zaid ya citizen tv
And Ethiopian market will be waiting for u to do a 1.5 years of profit, right?Safaricom can do that easily with 1.5 years of profit.
It's just a matter of priorities. Whether to invest the profit or pay dividends to shareholders like me.
Is Equity Kenyans bank?Hebu tulia jombaa, Equity Bank ya Kenya imeshaingia Ethiopia(nchi ya 11 kwa Equity, barani Afrika), KCB nao wanawafata nyuma. Ndio manufaa ya kuwa na rais anayejua lugha ya biashara, kama rais Abiy, sio kama yule mbabaishaji wenu. Nyinyi hapo hata kuingia kwenye 'mikoa' yenu ya Rwanda na Burundi mmeshindwa.Equity Bank enters Ethiopia market
It has resumed its continental expansion plan that stalled three years ago.www.theeastafrican.co.ke
ππRoyal Media Services hata Tanzania tu haijafika, Azam ipo inchi 10 Africa.Ushawai sikia kitu inajiita royal media services..nadhani ukipata ufahamu utawacha kuilinganisha na azam tv
Umeelewa kwanza nilicho kwambia, watanzania jamani..[emoji23][emoji23]royal media services.. hata tanzania tu haijafika... Azam ipo inchi 10 Africa
Huwez eleza kitu cha maana wewe... wakenya ni much know tu.. hamna kitu mnaweza kubali mmezidiwa... so kaendelee kutumia Azam TV japo unazuga hauifahamuUmeelewa kwanza nilicho kwambia, watanzania jamani..
Elimu elimu elimu...km hujui si uulize ni nn jamani, mi nitakueleza
Azam tv hta sijui ipoje, ila nina uhakika hko uliko mangi anakuuziaga bidhaa za kutoka kenya karibia kila sikuHuwez eleza kitu cha maana wewe... wakenya ni much know tu.. hamna kitu mnaweza kubali mmezidiwa... so kaendelee kutumia Azam TV japo unazuga hauifahamu