Mambo yapo sawa tayari mkuu 🤣🤣yaani tatizo la uchumi wa tz na maeneo yake linawezakuwa kwenye rekodi tu.
leo hii eti kkoo ilivyo busy,nenda kwenye pato lake ukaone tatizo[emoji2][emoji2],siku tutaweka mambo sawa,hamna mtu ataamini anachokiona[emoji3]
Pesa iko bali tumeamua kungoja Huawei wamalize mgogoro kwanza na USA kabla ya kuroll-out 5GSasa ulitaka bange itoe nini kama sio moshi? Wewe unaona bora kutafuna majani kama mbuzi kuliko bange?
Huawei 5G project imeishia wapi kama mko na pesa hivyo? Au pesa iko London ila maneno ndio iko nairobi?
Tunastahili kuconfirm kama hii imformation ni accurate. Nitalifanyia research.Mambo yapo sawa tayari mkuu 🤣🤣
Yaani kwenye transactions zetu za mwezi tunawapiga gap la dollar billion 1, level yao ni Burundi 😂😂😂
View attachment 1671014
Huyo ata hajui maana ya market capitalization...wachana tu nayeyeWeka evidence ama ukae kimya.
Mkuu pesa si shida kwa Safaricom. Ila hapa kwenye 5G duru za kuaminika zinasema wanapanga kuachana na HUAWEI na wanaegemea upande wa NOKIA.Pesa iko bali tumeamua kungoja Huawei wamalize mgogoro kwanza na USA kabla ya kuroll-out 5G
yet 70% of all the dividents go abroad!Yaani value ya shares ya Safaricom imefikia ksh 1.4 trillion. Hii inaifanya Safaricom kuwa na bigger market capitalisation than the market cap of the entire Dar es Salaam stock exchange. Kampuni yetu moja ni kubwa kushinda Dar es Salaam stock exchange.
Hahah try again. 35% go to GoK, 30% to free float shareholders(majority Kenyans) and 35% to Vodacom.yet 70% of all the dividents go abroad!
As usual, you are now looking for an escape route. Ukiulizwa haisaidii chochote kivipi you will not give a convincing answer. Stop looking for excuses. Do you own shares in any Tanzanian or foreign company at the Dar stock exchange?unaniuliza mimi tena!!![emoji2][emoji2]
hii yafaa wewe ukae chini ushange kwanini mambo ground ni tofauti sana!!!hata utajiri wa nairobi ni dsm x2.lakini hiyo haisaidii chochote kwenye maisha ya mtu mmoja mmoja.
Yani jinsi wanavyoumwa inatia raha 😂 😂Hahah try again. 35% go to GoK, 30% to free float shareholders(majority Kenyans) and 35% to Vodacom.
Kimsingi huku kwetu ni Full Shangwe.
Nyinyi mna nini? 😹😹
Kwani huyo danganyikan hajui kwamba Safaricom is the biggest company in east and central Africa and also the most profitable? Anaishi dunia gani?Weka evidence ama ukae kimya.
Siku hizi unaongea uongo sana. How is that possible if GoK still owns 35% of Safaricom shares? Halafu Kenyans still own some of the free-float shares. It is not just foreigners who own the free float shares.yet 70% of all the dividents go abroad!
escape route myfoot[emoji2][emoji2].As usual, you are now looking for an escape route. Ukiulizwa haisaidii chochote kivipi you will not give a convincing answer. Stop looking for excuses. Do you own shares in any Tanzanian or foreign company at the Dar stock exchange?
Wewe huoni aibu kuwa kampuni moja ya Kenya ina thamani kubwa kushinda makampuni zote ambazo zipo listed katika Dar es Salaam stock exchange? Unastahili kukaa chini na kujiuliza Tanzania mlikosea wapi hadi jirani yenu anawadhalilisha namna hii. Usijipige kufua, kubali mahali ambapo mna upungufu ili muweze kujirekebisha.escape route myfoot[emoji2][emoji2].
eti excuse,ya nini sasa!!
nipe wewe faida za hii safaricom kuwa na thamani kubwa kuliko dsm stock exchange[emoji16][emoji16].
imefika hatua mnakuwa wapuuzi sasa,kila kitu ni safi mradi kimeizidi tz.
Mgogoro wa US na Huawei nyinyi unawahusu nini? US anapambana ili biddhaa yake ya Apple isipotezwe na Huawei. Sasa huu mgogoro unawahusu nini hadi mshindwe kuingia kizazi cha tano?Pesa iko bali tumeamua kungoja Huawei wamalize mgogoro kwanza na USA kabla ya kuroll-out 5G
US inaweza kusanction Safaricom ikiwa Safaricom itatumia Huawei.Mgogoro wa US na Huawei nyinyi unawahusu nini? US anapambana ili biddhaa yake ya Apple isipotezwe na Huawei. Sasa huu mgogoro unawahusu nini hadi mshindwe kuingia kizazi cha tano?
Utajuahe wakati uzalendo imekupumbaza?escape route myfoot[emoji2][emoji2].
eti excuse,ya nini sasa!!
nipe wewe faida za hii safaricom kuwa na thamani kubwa kuliko dsm stock exchange[emoji16][emoji16].
imefika hatua mnakuwa wapuuzi sasa,kila kitu ni safi mradi kimeizidi tz.
kwani kampuni zenu zinalingana thamani na kila kampuni duniani[emoji38][emoji38]dude mbona mna reason kama punda!!!!Wewe huoni aibu kuwa kampuni moja ya Kenya ina thamani kubwa kushinda makampuni zote ambazo zipo listed katika Dar es Salaam stock exchange? Unastahili kukaa chini na kujiuliza Tanzania mlikosea wapi hadi jirani yenu anawadhalilisha namna hii. Usijipige kufua, kubali mahali ambapo mna upungufu ili muweze kujirekebisha.
Sawa basi usilie. Wacha yaishe.kwani kampuni zenu zinalingana thamani na kila kampuni duniani[emoji38][emoji38]dude mbona mna reason kama punda!!!!
haijawahi kuwa sehemu ya mpango wetu kushindana na kampuni za kenya kwa thamani,swala lililopo ni sisi kukuza za kwetu kwa namna yetu,sio kujiuliza eti tulikosea wapi!!!!tulikosea wapi kivipi???
Utajuahe wakati uzalendo imekupumbaza?
Ask yourself the following few questions
1. Given its size, how much it contributes to the treasury in terms of taxes.
2. The amount of dividends it pays each year to its shareholders and how that impacts on the economy
3. Given its financial strength, Safaricom is engaging in many socioeconomic activities/projects throughout the country, touching thousands if not millions of lives in ways you cannot imagine. It can't do this if it didn't have that kind of market capitalization
4. Their capital and operational expenditure stimulates additional employment which in turn benefits suppliers. The multiplier effect of this benefits the broader economy.
5. About 170,000 people depend directly on safaricom for employment. This is besides hundreds of thousands others who depend on the company indirectly.
I can go on and on...