mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
kama mimi nalia,wewe unagala gala[emoji16][emoji16].Sawa basi usilie. Wacha yaishe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama mimi nalia,wewe unagala gala[emoji16][emoji16].Sawa basi usilie. Wacha yaishe.
It's just a polite reminder that uchumi wetu ni ya "makaratasi" happy now? 😂ni afadhali kupumbaa katika uzalendo,niambie ukabila umekufanya nini wewe!!!
rejea swali langu,tatizo unatumia nguvu kubwa kujibu swali jepesi tu,sijui hujaelewa swali???
nimeuliza,ipi faida ya safaricom kuzizidi thamani kampuni zote za bongo kwenye soko la hisa!!!unaruka kama popcorn.
tunarudi pale pale kwenye thamani na nguvu ya pesa,sawa nicxie???
Hata ingekuwa ni wewe haungekasirika? 😂 😂. Put yourself in his shoes 😂Mbona hii habari ya Safaricom kutandika kampuni zenu zote za DSE imekuuma sana?
wewe ndio unasema nimeumia,wakati kimsingi unazidi kuivua nguo jubilee[emoji38][emoji38].Mbona hii habari ya Safaricom kutandika kampuni zenu zote za DSE imekuuma sana?
tena karatasi ya kwenye nguzo,mvua tu inaondoa bango[emoji23][emoji23].It's just a polite reminder that uchumi wetu ni ya "makaratasi" happy now? [emoji23]
Hahah yani US waiwekee vikwazo safaricom kisa kujiunga na 5G ya Huawei? Kwanini sasa? How can they have that mandate? Under what circumstances...US inaweza kusanction Safaricom ikiwa Safaricom itatumia Huawei.
Wewe ni wazimu hata sina time na huu upuuzi wako.Hahah yani US waiwekee vikwazo safaricom kisa kujiunga na 5G ya Huawei? Kwanini sasa? How can they have that mandate? Under what circumstances...
Wewe unajua kuliko mr. Ndegwa? The thing ni kwamba 5G ni very expensive..you can't afford it at the moment. Pili most of your internet users wanatumia 2G na 3G technology. Hiyo 5G mnamuwekea nani wakati hata 4G tu ni watu wachache mno?
Unajua kwa nini hao safaricom wamepunguza gharama za kutuma pesa tu nearly 90%? The company financial balance is at bad shape..
Si nyinyi ndio huwa mnasema uchumi wetu ni wa kwenye makaratasi? Sasa itakuwaje kampuni yetu moja ni kubwa kushinda Dar es Salaam stock exchange?
ndio kawaida yako ukiishakamwatwa utikise akili kidogo,huwa unahepa kama kipchoge.Wewe ni wazimu hata sina time na huu upuuzi wako.
4g yenyewe bado inahitaji kuenezwa zaidi ya kuanza kufikiria 5g.Hahah yani US waiwekee vikwazo safaricom kisa kujiunga na 5G ya Huawei? Kwanini sasa? How can they have that mandate? Under what circumstances...
Wewe unajua kuliko mr. Ndegwa? The thing ni kwamba 5G ni very expensive..you can't afford it at the moment. Pili most of your internet users wanatumia 2G na 3G technology. Hiyo 5G mnamuwekea nani wakati hata 4G tu ni watu wachache mno?
Unajua kwa nini hao safaricom wamepunguza gharama za kutuma pesa tu nearly 90%? The company financial balance is at bad shape..
Wakora wa jalalani mnajua lugha za hovyo hovyo tu na matusi maana mmekulia mazingira ya ushenzini.Wewe ni wazimu hata sina time na huu upuuzi wako.
Ndio hapo sasa mkuu, yani walitaka 5G kwa ajili ya kupost Twitter na FB. Halafu population yao inayotumia internet ni ndogo sana na ni 2G na 3G..installation ya 5G wataiwezea wapi? Sema wamezoea kuwa na project zisizokuwa na faida na zinawacost pesa nyingi. Hiyo safaricom ingekuwa ni ya wakenya wangefunga hiyo 5G. Ila kwa kuwa ni biashara private yenye wanahisa wa London huko ndio wakapinga hiyo kitu. Ila walishakuwa tayari kuingizwa kingi4g yenyewe bado inahitaji kuenezwa zaidi ya kuanza kufikiria 5g.
wenzetu wana install kwa ajiri ya matumizi mhimu zaidi,watu wengine wanawaza internet pekee[emoji41][emoji41]
mtu anashangilia tu eti maendeleo ukimuuliza kwa vipi yanakugusa wewe hajui[emoji23].Ndio hapo sasa mkuu, yani walitaka 5G kwa ajili ya kupost Twitter na FB. Halafu population yao inayotumia internet ni ndogo sana na ni 2G na 3G..installation ya 5G wataiwezea wapi? Sema wamezoea kuwa na project zisizokuwa na faida na zinawacost pesa nyingi. Hiyo safaricom ingekuwa ni ya wakenya wangefunga hiyo 5G. Ila kwa kuwa ni biashara private yenye wanahisa wa London huko ndio wakapinga hiyo kitu. Ila walishakuwa tayari kuingizwa kingi
Wakati wengine wanapambania 5G kwa mambo ya kiulinzi zaidi..
mtu anashangilia tu eti maendeleo ukimuuliza kwa vipi yanakugusa wewe hajui[emoji23].
hawa ni wazee wa big white elephant,usiwashangae.
Naona safaricom imewatoa povu sana leo. Nafurahi kusoma povu yenu. GoK inamiliki 35% ya Safaricom. Halafu 25% ya Safaricom inamilikiwa na umma (free-float shares) ikiwemo thousands of Kenyans.Ndio hapo sasa mkuu, yani walitaka 5G kwa ajili ya kupost Twitter na FB. Halafu population yao inayotumia internet ni ndogo sana na ni 2G na 3G..installation ya 5G wataiwezea wapi? Sema wamezoea kuwa na project zisizokuwa na faida na zinawacost pesa nyingi. Hiyo safaricom ingekuwa ni ya wakenya wangefunga hiyo 5G. Ila kwa kuwa ni biashara private yenye wanahisa wa London huko ndio wakapinga hiyo kitu. Ila walishakuwa tayari kuingizwa kingi
Wakati wengine wanapambania 5G kwa mambo ya kiulinzi zaidi..
Sasa weye kajamba fulani wa hapo matopeni tanganyika leo umejitwika ukurugenzi wa SAFARICOM?....hahhhah, takataka....eti facts.Wakora wa jalalani mnajua lugha za hovyo hovyo tu na matusi maana mmekulia mazingira ya ushenzini.
Hamuwezi kuwa na mjadala wenye maana na kuwa na facts za kueleweka. Maneno matupu tu.. bure kabisa.
Bado hujamaliza research? Tena mmefikia dollar billion 4 sababu ya covid-19 restrictions, at your normal rate ni 3 billion dollars, Tanzania tupo 5 billion without covid-19 restrictionsTunastahili kuconfirm kama hii imformation ni accurate. Nitalifanyia research.
Haya sasa wewe nyang'au niambie kwa nini hamjajiunga 5G ya HuaweiSasa weye kajamba fulani wa hapo matopeni tanganyika leo umejitwika ukurugenzi wa SAFARICOM?....hahhhah, takataka....eti facts.
potelea mbali.