Safaricom wazindua uwezo wa kupokea hela kwenye Mpesa kutokea Paypal

Nakuelewa sana unachomaanisha na it's a matter of time within next six months itakuwepo hiyo huduma. Look out for Selcom with a similar product using Selcom cards via Mastercard. Also I see Tigo doing that aside Vodacom.

Nimeona tigo wamefanya kitu nimefurahi, i think nlikuwa kwenye website ya kikuu nikijaribu, nikaona straight forward unaweza kulipia bidhaa kupitia tigopesa hapo hapo bila ya kuchukua simu na kuingiza namba ya kampuni. Merchant anapokea hela yake direct bila ya wasi. This is kind of tech Tanzania needs to boost our economics, kuna alot of opportunities ila regulations zipo tight.

Halafu sio paypal tu ambae huwezi kupata hela zako Tanzania wapo na wengine kama Authorize.net

Nilikuwa na project yangu, although nimelack pesa, lakini kilichonikata maini ni kutokuwa na system ambayo itawezesha kupokea pesa kutoka nje kuja Tanzania, nilikwenda hadi CRDB nikaambiwa not possible.

Selcom wajiongeze, wawe na wao an option to receive international money. Yaani we need a payment processor to enable us to do international business online. Kama wapo njiani ni vizuri.
 
hiyo kitu inakuja wadau wa utalii watashikia Bango. Usiwe wasi refer ATM machines in Natonal Parks.
 
Tanzania was the first country to offer money transfer over other networks (interoperability). Mijinga inasema tupo nyuma bila utafiti.
Uko sawa ila kupokea pesa kwa PayPal kwa hapa TZ hilo bado ni tatizo,
Ila wenzetu wamepiga hatua kwa hilo sasa sio PayPal kwenda benki tu sasa mpaka kwenye mtandao wa simu wa safaricom
 

Aisee CRDB ni wapuuzi kwelikweli nilikuwa na foreign currency account charges walizokuwa wananitoza nikafunga account nipo Exambank sasa.
 
hiyo kitu inakuja wadau wa utalii watashikia Bango. Usiwe wasi refer ATM machines in Natonal Parks.
Sifikirii, kwa sababu tayari watu wanatumia directPay kwenye utalii. Almost all companies in Tanzania hii ndio solution yao. So ujio wa mwengine lazima awe na competition kwenye fees charged per transactions, kwa sababu hawa jamaa ata service wanayotoa, iache tu, imekamilika haina mashaka. I am speaking from experience mana kila siku ndio mfumo nnaotumia kulipisha wageni.
 
Aisee CRDB ni wapuuzi kwelikweli nilikuwa na foreign currency account charges walizokuwa wananitoza nikafunga account nipo Exambank sasa.
Pole mkuu, kuna lack of transparency kwenye fees.
 
Yote hii ni sababu ya CHADEMA qumanina!
ebu kuwa mtu mzima basi sahivi watu wazima wanaongea vitu vyenye maana wewe unaleta utoto hapa.
kwani chadema ndo wanamiliki hizo kampuni za mawasiliano 100% tatizo ni serekali (mm na ww) kutofanya uwekezaji wa kutosha kwenye hio sector ndo maana mtu anamaliza chuo hata window hawezi badili kwenye computer
 
Kha! Haya madude unayookota na kuyatupa hapa wewe mwenyewe umeyasoma?

Hebu kaa kimya bhana hujui kitu. Jifunze kwanza ujuwe watu wanaongelea nini?
duh,huyu kilaza wa ccm ni balaaaa😀😀
 
kwenye swala la PayPal, Tanzania tupo nyuma sana na hii inasababisha watanzania kushindwa nunua bidhaa nje ya nchi ikitokana hasa na baadhi ya manyampala kutaka kuendelea ku monopolise soko na kula faida iliyokubuhu huku watanzania wa hali za kat/chin wakiumia
 
Watu wanataka kutuma na kupokea fedha kwa njia ya simu nje ya nchi si ndani ya nchi pekee
There u are, huwa najiuliza ni kwamba tuna watu ambao sio wabunifu au ambao ni waoga ama hawana uelewa wa hizi vitu. Tanzania tuamke
 
Na sio PayPal tu pia Skrill to safaricom M-pesa na transfer ni Instant (ndani ya 30 sec). Hopeful Tanzania tutafikia huko na kuzidi
 
Acha kuzingua unajua uzuri wa paypal wewe????? Unaweza kutrade worldwide ukiwa chumbani tu.Kubali kenya wamepiga hatua
 
Wanaogopa, bankers wanadhani hawatalipwa pesa zao and kwamba watapata hasara. Ni moja ya jibu nililopewa na customer care mmomja, mwingine akaniambia skril ni illegal hahahahah
 
Wanaogopa, bankers wanadhani hawatalipwa pesa zao and kwamba watapata hasara. Ni moja ya jibu nililopewa na customer care mmomja, mwingine akaniambia skril ni illegal hahahahah
Hao customer care ndo hawana walijualo sasa 😀 Skrill illegal vipi na ingekuwa ishafungiwa...... Hawajui kuhusu ecommerce.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…