Safaricom wazindua uwezo wa kupokea hela kwenye Mpesa kutokea Paypal

Safaricom wazindua uwezo wa kupokea hela kwenye Mpesa kutokea Paypal

Nakuelewa sana unachomaanisha na it's a matter of time within next six months itakuwepo hiyo huduma. Look out for Selcom with a similar product using Selcom cards via Mastercard. Also I see Tigo doing that aside Vodacom.

Nimeona tigo wamefanya kitu nimefurahi, i think nlikuwa kwenye website ya kikuu nikijaribu, nikaona straight forward unaweza kulipia bidhaa kupitia tigopesa hapo hapo bila ya kuchukua simu na kuingiza namba ya kampuni. Merchant anapokea hela yake direct bila ya wasi. This is kind of tech Tanzania needs to boost our economics, kuna alot of opportunities ila regulations zipo tight.

Halafu sio paypal tu ambae huwezi kupata hela zako Tanzania wapo na wengine kama Authorize.net

Nilikuwa na project yangu, although nimelack pesa, lakini kilichonikata maini ni kutokuwa na system ambayo itawezesha kupokea pesa kutoka nje kuja Tanzania, nilikwenda hadi CRDB nikaambiwa not possible.

Selcom wajiongeze, wawe na wao an option to receive international money. Yaani we need a payment processor to enable us to do international business online. Kama wapo njiani ni vizuri.
 
It is definitely a regulation issue between the government and the payment processor not a commercial issue at all.

Imagine if Hotels in Tanzania were able to withdraw their cash from Paypal account. You think there would be a need for a 3gdirectpay service hapa?
hiyo kitu inakuja wadau wa utalii watashikia Bango. Usiwe wasi refer ATM machines in Natonal Parks.
 
Tanzania was the first country to offer money transfer over other networks (interoperability). Mijinga inasema tupo nyuma bila utafiti.
Uko sawa ila kupokea pesa kwa PayPal kwa hapa TZ hilo bado ni tatizo,
Ila wenzetu wamepiga hatua kwa hilo sasa sio PayPal kwenda benki tu sasa mpaka kwenye mtandao wa simu wa safaricom
 
Nimeona tigo wamefanya kitu nimefurahi, i think nlikuwa kwenye website ya kikuu nikijaribu, nikaona straight forward unaweza kulipia bidhaa kupitia tigopesa hapo hapo bila ya kuchukua simu na kuingiza namba ya kampuni. Merchant anapokea hela yake direct bila ya wasi. This is kind of tech Tanzania needs to boost our economics, kuna alot of opportunities ila regulations zipo tight.

Halafu sio paypal tu ambae huwezi kupata hela zako Tanzania wapo na wengine kama Authorize.net

Nilikuwa na project yangu, although nimelack pesa, lakini kilichonikata maini ni kutokuwa na system ambayo itawezesha kupokea pesa kutoka nje kuja Tanzania, nilikwenda hadi CRDB nikaambiwa not possible.

Selcom wajiongeze, wawe na wao an option to receive international money. Yaani we need a payment processor to enable us to do international business online. Kama wapo njiani ni vizuri.

Aisee CRDB ni wapuuzi kwelikweli nilikuwa na foreign currency account charges walizokuwa wananitoza nikafunga account nipo Exambank sasa.
 
hiyo kitu inakuja wadau wa utalii watashikia Bango. Usiwe wasi refer ATM machines in Natonal Parks.
Sifikirii, kwa sababu tayari watu wanatumia directPay kwenye utalii. Almost all companies in Tanzania hii ndio solution yao. So ujio wa mwengine lazima awe na competition kwenye fees charged per transactions, kwa sababu hawa jamaa ata service wanayotoa, iache tu, imekamilika haina mashaka. I am speaking from experience mana kila siku ndio mfumo nnaotumia kulipisha wageni.
 
Aisee CRDB ni wapuuzi kwelikweli nilikuwa na foreign currency account charges walizokuwa wananitoza nikafunga account nipo Exambank sasa.
Pole mkuu, kuna lack of transparency kwenye fees.
 
Yote hii ni sababu ya CHADEMA qumanina!
ebu kuwa mtu mzima basi sahivi watu wazima wanaongea vitu vyenye maana wewe unaleta utoto hapa.
kwani chadema ndo wanamiliki hizo kampuni za mawasiliano 100% tatizo ni serekali (mm na ww) kutofanya uwekezaji wa kutosha kwenye hio sector ndo maana mtu anamaliza chuo hata window hawezi badili kwenye computer
 
Kha! Haya madude unayookota na kuyatupa hapa wewe mwenyewe umeyasoma?

Hebu kaa kimya bhana hujui kitu. Jifunze kwanza ujuwe watu wanaongelea nini?
duh,huyu kilaza wa ccm ni balaaaa😀😀
 
kwenye swala la PayPal, Tanzania tupo nyuma sana na hii inasababisha watanzania kushindwa nunua bidhaa nje ya nchi ikitokana hasa na baadhi ya manyampala kutaka kuendelea ku monopolise soko na kula faida iliyokubuhu huku watanzania wa hali za kat/chin wakiumia
 
Watu wanataka kutuma na kupokea fedha kwa njia ya simu nje ya nchi si ndani ya nchi pekee
There u are, huwa najiuliza ni kwamba tuna watu ambao sio wabunifu au ambao ni waoga ama hawana uelewa wa hizi vitu. Tanzania tuamke
 
Na sio PayPal tu pia Skrill to safaricom M-pesa na transfer ni Instant (ndani ya 30 sec). Hopeful Tanzania tutafikia huko na kuzidi
 
Kwahiyo unamaanisha sasa hivi hamna hizo facilities Tanzania? Ignorance bwana je Moneygram? Worldremit? Hizo zote zinamfikia mhusika kwenye simu yake! Kenya ndo wanajaribu interoperability sasa wakati sisi tangu 2014!

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
Acha kuzingua unajua uzuri wa paypal wewe????? Unaweza kutrade worldwide ukiwa chumbani tu.Kubali kenya wamepiga hatua
 
Mkuu, its not about commercial interest kabisa kwenye suala la Paypal na TZ bankers. Mbona ndipo penye interest zaidi hapo. Hebu tizama leo online shops wanatumia which payment processor? Huoni kama kungekuwa na eBay seller from Tanzania wenye kupokea malipo kupitia paypal na wakatoa hela from paypal zikenda kwenye bank zao? This issue is more of a regulations, kati ya Paypal na sheria za Tanzania zinazohusu masuala ya hela. Kwanini tuweze kutoa hela tusiweze kuingiza hela kutumia paypal?
Wanaogopa, bankers wanadhani hawatalipwa pesa zao and kwamba watapata hasara. Ni moja ya jibu nililopewa na customer care mmomja, mwingine akaniambia skril ni illegal hahahahah
 
Wanaogopa, bankers wanadhani hawatalipwa pesa zao and kwamba watapata hasara. Ni moja ya jibu nililopewa na customer care mmomja, mwingine akaniambia skril ni illegal hahahahah
Hao customer care ndo hawana walijualo sasa 😀 Skrill illegal vipi na ingekuwa ishafungiwa...... Hawajui kuhusu ecommerce.
 
Back
Top Bottom