Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
U are wrong. 173 na 172 , sio kwa mamilioni. GDP PPP Haitumiwi kudetermine quality of life ya raia. GDP per capita ndoo inaonyesha hali ya maisha ya wananchi.Nilikua naangalia GDP za nchi mbalimbali nikakuta Tanzania na Kenya zote ziko level moja tu yaani Kenya Dola 173,000Million na Tanzania Dola 172,000Million based on GDP ile ya PPP.
Sasa nikiona mada hii naona ni ugoro mtupu.
GDP PPP NI mambo mengine kanisa.