Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
U are wrong. 173 na 172 , sio kwa mamilioni. GDP PPP Haitumiwi kudetermine quality of life ya raia. GDP per capita ndoo inaonyesha hali ya maisha ya wananchi.Nilikua naangalia GDP za nchi mbalimbali nikakuta Tanzania na Kenya zote ziko level moja tu yaani Kenya Dola 173,000Million na Tanzania Dola 172,000Million based on GDP ile ya PPP.
Sasa nikiona mada hii naona ni ugoro mtupu.
Why is a 19% growth unrealistic? Sierra leonian economic is raving at those rates u say are unrealistic. Kenya's economy vrew at 22% once in 1975.that would be impressive! but the growth rate of 19pct is unrealistic
sema hiii iyo faida imetoka kwa maskiniMaskini in particular ndoo wamenufaika zaidi na hizi huduma za safaricom Mpsea.
Agreed. Tanzania is the fastest in East Africa for now but its only 7pct...thats the only reason i said 19 would be unrelistic. The WB stats puts Kenya's GDP at usd 63bn in 2015.Why is a 19% growth unrealistic? Sierra leonian economic is raving at those rates u say are unrealistic. Kenya's economy vrew at 22% once in 1975.
Anyway, Kenya's GDP in 2015 was $68.5bn, noy 63bn.
Hapo sasa ikudhihirishie ya kwamba wakenya wako na pesa! Kama hii ni service ya maskini tu, ni vipi basi Mpesa imepata kufanya fedha nyingi hivi?sema hiii iyo faida imetoka kwa maskini
billionaires wanatumiaga izo service? acheni kupretend mko Europe we are all Africans na nyie mlioenda shule instead yakutetea maskini uko mashambani ndo mnaleta propaganda za things are good , kwakuleta data za companies za nje
Sent from my LG-H500 using JamiiForums mobile app
mkuu povu jingi mbona😱Hapo sasa ikudhihirishie ya kwamba wakenya wako na pesa! Kama hii ni service ya maskini tu, ni vipi basi Mpesa imepata kufanya fedha nyingi hivi?
Acheni kutafuta sanabu za kipuzi kuponda mafamikio haya.
Safaricom ilitransuct fedha nyingi sana kuliko uchumi mzima ya Tz, and that's the bottom line.
hakuna mtu anatafuta excuse hapaHapo sasa ikudhihirishie ya kwamba wakenya wako na pesa! Kama hii ni service ya maskini tu, ni vipi basi Mpesa imepata kufanya fedha nyingi hivi?
Acheni kutafuta sanabu za kipuzi kuponda mafamikio haya.
Safaricom ilitransuct fedha nyingi sana kuliko uchumi mzima ya Tz, and that's the bottom line.
Good. Kwa Kuongezea, kwa lugha sahihi ya ulimwengu wa "finance" currency tunasema "convertion" na sio "translation."1$=101 KSH..... Kwahivyo hapo imeandikwa Mpesa transaction totalled 6.8 Trillion, translation to $68Billion
Yeah,nilikosea kidogo,nitarudi tena kuangalia Specifically, GDP ya Kenya ni ngapi na ya Tanzania ni ngapi kwa mujibu wa IMF au World Bank na siyo mtu mwingine aje kutuhadaa kisa yeye ni Mkenya. Hiyo Purchasing Power Parity nakubaliana na weweU are wrong. 173 na 172 , sio kwa mamilioni. GDP PPP Haitumiwi kudetermine quality of life ya raia. GDP per capita ndoo inaonyesha hali ya maisha ya wananchi.
GDP PPP NI mambo mengine kanisa.
Hahahaha!! Yes your currency is stronger but not to that extent........unless you are talking about Zimbabwe. I get the joke though.mwache..he thinks we are talking abt Tanzanian Shillings...a useless currency...naskia kwao ukienda Nakumatt unaenda na mabilioni kununua several household items...😀😀😀😀 ...forgive him...peremende ya shilingi moja huko ni 20 bob...tissue ni 400...lol!
My friend here must be bemused because he might have confused "transactions" with "revenue/profit."Shida gani yako?
Mpesa transactions were 6.8 Trillion Kenya Shillings. Yaani $68 billion.
Kweli TZ mnashida kubwa ya masomo. Chart iko hapo, huwezi soma?
Kenya tayari imefanya hivo.hakuna mtu anatafuta excuse hapa
ok fine mna pesa nyingi uchumi mzuri
chukueni iyo pesa mreplace ule msaada ulioondolewa na trump kwenye wizara ya afya
Sent from my LG-H500 using JamiiForums mobile app
mkuu povu jingi mbona😱
Sio povu ndugu. Wenye povu ni hawa wanaobisha ukweli ya kwamba Mpesa utransact fedha nyingi zaidi kuliko uchumi mzima wa Tz.mkuu povu jingi mbona😱
That's even more than Kenya's GDP
Nimerekebisha isomeke Dolla Billion 164 Kenya na 163 Billion Tanzania.U are wrong. 173 na 172 , sio kwa mamilioni. GDP PPP Haitumiwi kudetermine quality of life ya raia. GDP per capita ndoo inaonyesha hali ya maisha ya wananchi.
GDP PPP NI mambo mengine kanisa.
Umekimbia hapa na longolongo zakoThat's even more than Kenya's GDP
Mnafananisha vitu viwili visivyofanana. Volume of Transactions vs Gross Domestic Product. May be it is because hamfahamu maana ya GDP.Kenya tayari imefanya hivo.
Sio povu ndugu. Wenye povu ni hawa wanaobisha ukweli ya kwamba Mpesa utransact fedha nyingi zaidi kuliko uchumi mzima wa Tz.
I know what conversion is and when to use the word... in this particular case I chose not to use the word,,, because translation to me was more appropriate in that sentence because we are talking in layman's english.Good. Kwa Kuongezea, kwa lugha sahihi ya ulimwengu wa "finance" currency tunasema "convertion" na sio "translation."
Why is a 19% growth unrealistic? Sierra leonian economic is raving at those rates u say are unrealistic. Kenya's economy vrew at 22% once in 1975.
Anyway, Kenya's GDP in 2015 was $68.5bn, noy 63bn.