Safaricom's MPesa Transacted $68 Billion... More Than Tanzania GDP

We jamaa unavyopenda kuzungumzia pesa za wanaume wenzako. Ukute unaishi kibera. Pole kwa wazazi wako na serikali ya Kenya kwa kuwa na hili twatwa. Idiot.
povu jingi usituletee sisi wakenya...utakufa mapema😱😱😱
 

Tunafahamu vizuri.
GDP is the value of all goods and services produced by a country over a period of 1 year.
The same case hapa tunaangalia value of transactions on Mpesa over a period of 1 year.

Ikitaka pia kuna revenue ya Safaricom, ambayo imegonga $2 billion. Highest in the region.

Serikali itapata tax on revenue, plus dividend zao being one of the major shareholders. I don't have the exact figure.
 
tafta sources kwanza before uje kucomment...usicomment tu chenye hujui....watu watakuona mjinga...nadhani ukinda kwa google search utapata majibu...usijiaibishe hakikisha kwanza
Poor Swahili
 
Watu mnapiga kelele zisizo na maana, transacted sio total revenue. The way they calculate this is number of transaction send from one service user to another and another..... Kama mtu akituma Shs 1,000 kwa mtu that ina hesabiwa kama one transaction, the same Shs 1,000 aliye pokea anaweza akaituma kwa mtu mwingine, safaricom ana hesabu hiyo kama new transaction and add it to first Shs 1,000 so now the transacted is Shs 2,000 and so on. Kwahiyo ukiangalia in true sense that $68 B ni nusu au robo ya pesa halisi inayo tumika kwenye mzungiko wa safaricom. You can't have over 70 billion economy huku one company transacted 68 billion.
 
Economic growth is not GDP growth my fren
what is your point bro? did you follow that specifc conversation on GDP?

How can you possibly talk about economic growth of a country without talking about GDP??
 
Aya wakenya nyie ni superpower country hamtegemei msaada kwenye suala lolote toka kwa nchi yoyote. Nyie mna akili, wajanja na matajiri kuliko nchi yoyote duniani. Are you happy now? Cause huu ujinga wa nchi moja maskini kujitamba kwa Jirani yake ambae na yeye ni maskini kwa sifa za kijinga. Unaanza kuchosha sasa.
 
Hiyo revenue ndio mfananishe na GDP because latest GDP ya Kenya ni $69 Millions......mambo mengine wacheni sifa za mtandao kwa kufananisha kifo na usingizi....
 
Hiyo revenue ndio mfananishe na GDP because latest GDP ya Kenya ni $69 Millions......mambo mengine wacheni sifa za mtandao kwa kufananisha kifo na usingizi....
Sorry $69 Billionsmmm
 
On the contrary, this is a thread about kenya, the person who started the thread was simply informing, but then as always y'all make up anything to dismiss the info, which is really awkward. Safaricom being a public company should publish it's turnover. I agree it might pinch a little with the mention that the transactions amounted more than the Tz GDP but it's just a fact.
 
what is your point bro? did you follow that specifc conversation on GDP?

How can you possibly talk about economic growth of a country without talking about GDP??

...... I have been following the conversation. You're the one who's low on knowledge. When the economy grows at 6% it doesn't necessarily mean the GDP will grow at 6%.
 
Reactions: SMU
...... I have been following the conversation. You're the one who's low on knowledge. When the economy grows at 6% it doesn't necessarily mean the GDP will grow at 6%.
What is the GDP growth rate for Tanzania and for Kenya (2016)? what is economy to you? and what is GDP?
 
Good. Kwa Kuongezea, kwa lugha sahihi ya ulimwengu wa "finance" currency tunasema "convertion" na sio "translation."
You can also "translate" currencies. He made no mistake in his using that term in that context. To translate a currency simply means to convert the currency into another currency, and both terms are used interchangeably in the financial world.
 
The weird thing: Safaricom makes a revenue of $2B a profit of $480Million ,on the other side of life KQ has a debt of $2B
 
Yaani wao kila habari eti lazima waihusishe Tanzania, sasa nimeona sababu kwanini wanaume wa Kenya wanatandikwa na wake zao! Afu linajitokeza likenya linasema huwezi fananisha kenya na tanzania upuuzi, wakati mada zao kazi kujifananisha na TZ, mambo ya kike tu. Hamuwezi kutoa habari bila kufanya comparison? Imehusu nini kufananisha mpesa na gdp ya tanzania? Fananishe basi na ya UK, au mnajijua kama level zenu ni Tanzania?πŸ˜€
 
Wacha ndoto, your leaders are always using Kenya as a benchmark for development, sisi tujilinganishe na nyinyi aje na mko nyuma yetu, ufala tu
 
Wacha ndoto, your leaders are always using Kenya as a benchmark for development, sisi tujilinganishe na nyinyi aje na mko nyuma yetu, ufala tu
Ufala ni kutoa habari na kulinganisha na Tanzania. Ni ulimbukeni wa maendeleo ndio unaowasumbua tu. Haya rudi nyumbn ukachezee vibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…