Safarini Yaeda.....

Safarini Yaeda.....

Hivi yaeda bado kuna wale wa masai kama yule mkaka wa kwenye white maasai? Naomba uniletee mmoja.
 
uwii.....tuachane......

..........Ewaaaa!!!!!!!!! Mwambie kabisa humtaki!! Haelewi tu?? Au ngoja nikusaidie kumpaka.. mtu chake umeambiwa na Preta acha kumfuatilia anga zake, umesha xpaya na HAKUTAKI... Mwisho wa kunukuu.:A S 103: Goodbye
 
Last edited by a moderator:
Wapendwa nipo safarini kuelekea nyumbani Yaeda....nipo ndani ya basi linaitwa Buibui....lina koroboi juu.....niombeeni nifike salama....nitarudi na nyanyi kausha......kwa atakaependa.....anipe order nitamletea....bure...

kila la kheri... sista uje na kifuee
 
Kwansa kabtha POLE THANA KWA UCHOFU WA SAFARI MAMITO PRETA. Kwa wasioijua Yaeda; kuna jamii ya wa2 "endemic" wanaitwa wahadzabe/wasandawe/watindiga a.k.a "hagite". Idadi yao hawazidi 1000, chakula chao ni mizizi ya mimea, matunda na nyama za wanyamapori! Lugha yao ni noma, hebu Preta 2pia humu hata neno moja la hao ndg zako! Salamu zao huko.
 
kwa niaba ya mgeni wetu nasema [nxanxweqh xhiimo or konki waxantqwxxn] maana yake ni kwamba mgen wetu amefika salama na mda huu yupo na bibi yake anampa machache jinsi ya kuishi na hawa mafisadi wa kijani!
 
Wapendwa nipo safarini kuelekea nyumbani Yaeda....nipo ndani ya basi linaitwa Buibui....lina koroboi juu.....niombeeni nifike salama....nitarudi na nyanyi kausha......kwa atakaependa.....anipe order nitamletea....bure...

Mimi nataka safari ya Yaeda ya chini, kama siyo hiyo usiniletee zawadi hizo.
 
kwa niaba ya mgeni wetu nasema [nxanxweqh xhiimo or konki waxantqwxxn] maana yake ni kwamba mgen wetu amefika salama na mda huu yupo na bibi yake anampa machache jinsi ya kuishi na hawa mafisadi wa kijani!

Teh teh teh wa kwe2 umenivunja mbavu! Umemix bhana, "or konki" tena, mmh! Luga ya hagite inaandikika kweli mkuu?
 
..........Ewaaaa!!!!!!!!! Mwambie kabisa humtaki!! Haelewi tu?? Au ngoja nikusaidie kumpaka.. mtu chake umeambiwa na Preta acha kumfuatilia anga zake, umesha xpaya na HAKUTAKI... Mwisho wa kunukuu.:A S 103: Goodbye

Mjumbe hauwawi au siyo?????
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom